mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Sawa tu yeye si ndo anatumika.anakunjwa anageuzwa geuzwa kama chapati alafu wahuni wanamtema.
Unafikiri hao wanaume wao ndio hawatumiki na Dida?
Siku akija kuolewa na mwanao ndio utajua hata wanaume wanatumikaga😅😅😅😅