DIDA Shaibu aachika ndoa yake ya 4 ndani ya miezi?!!

Mwanamke moja kaolewa na kuachika mara 4 .. na sasa naambiwa tena yupo mbioni kufunga ndoa nyingine ya 5 na hapo ndoa ya 4 imedumu kwa miezi mi5 tu na haijachukua hata mwezi moja tangu ya nne ivunjike ya tano iko njiani.

Swali ninalo jiuliza Anaye fungisha Ni Shekhe huyo huyo moja au Kila mara Shekhe Mwingine?? Lakinia pia najiwazia hawa wanaume wote wanao organize Harusi Mpaka ndoa huwa wanakuwa kwenye hali gani kiakili??

Nawaza wanume wote hao walipima afya kabla ya kuingia kavu maana niwazi ndoa hawatumia condom,.

Je Kwa waislam Mwanaume ana ruhusa ya kuoa mara4 vip kuhusu Mwanamke anaolewa mara ngap?View attachment 2061475
Jamvi. Tusubiri Shishi
 
Namuombea Dida Mungu ampe Mwanaume mwingine ikibidi Mzungu wa ukweli wanaomtakia mabaya waaibike na kufedheheka ,

Tena mume wa kizungu kijana wa ukweli na siyo wale wazee wenye shombo kama wanawake wa kibongo wengi wanaowaokota kula nao vipensheni.

Didah utapata Mume wa kufanana naye mwaya!
Wazungu hawatakagi wanawake wanaojipiga mkono mmoja

Ova
 
Members kwa post hizi naamin Dida alikuwa na akaunti hapa JF tujaribu kufuatilia kwenye hizi posts zake kuna viashiria baadhi ya comments ni Dida mwenyewe.
 
Mwanamke moja kaolewa na kuachika mara 4 .. na sasa naambiwa tena yupo mbioni kufunga ndoa nyingine ya 5 na hapo ndoa ya 4 imedumu kwa miezi mi5 tu na haijachukua hata mwezi moja tangu ya nne ivunjike ya tano iko njiani.

Swali ninalo jiuliza Anaye fungisha Ni Shekhe huyo huyo moja au Kila mara Shekhe Mwingine?? Lakinia pia najiwazia hawa wanaume wote wanao organize Harusi Mpaka ndoa huwa wanakuwa kwenye hali gani kiakili??

Nawaza wanume wote hao walipima afya kabla ya kuingia kavu maana niwazi ndoa hawatumia condom,.

Je Kwa waislam Mwanaume ana ruhusa ya kuoa mara4 vip kuhusu Mwanamke anaolewa mara ngap?View attachment 2061475
Kabda mgodi unatema, (yaliyomo yamo)
 
Back
Top Bottom