BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Dada upo, nina miaka buku sikuoni etykama mambo hayaendi aachike tu hata mara 1000!!!!
kung'ang'ania ndoa kisa macho ya watu ndiko kunakowaumiza wanawake wengi!!!!!!!
Ila Dida hakumrekodi wala kuongea shombo dhidi ya EdzenNi ya mda mrefu Ili trending Instagram sana, kuweni makini na hao bebezi zenu kujiachia achia achia, wengi hurekod kwa Siri, nakumbuka enzi hzo Dida alikuwa anajiita Dida wa Edzen na mbwembwe kupostiana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndo najua kuna sa baadhi ya Me akili zao na tafsiri ya neno Wife Material huwa wanazijuaga wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchangieni tena hela
Afanye ndoaaa ?
Mjini hapa!
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu yangu Kumbilamoto sijui ilikuaje akaingia hapa?
Nangoja kwenye vikao vya Baraza tumcheke[emoji16]
No limit, Mwanaume anaweza kuoa mara zote atakazoweza ilimradi kwenye ndoa mwisho ni kuwa na wake wanne. Vivyo hivyo kwa mwanamke anaweza kuolewa mara zote, ilimradi kila akiachika anaweza kuolewa tena.Mwanamke moja kaolewa na kuachika mara 4 .. na sasa naambiwa tena yupo mbioni kufunga ndoa nyingine ya 5 na hapo ndoa ya 4 imedumu kwa miezi mi5 tu na haijachukua hata mwezi moja tangu ya nne ivunjike ya tano iko njiani.
Swali ninalo jiuliza Anaye fungisha Ni Shekhe huyo huyo moja au Kila mara Shekhe Mwingine?? Lakinia pia najiwazia hawa wanaume wote wanao organize Harusi Mpaka ndoa huwa wanakuwa kwenye hali gani kiakili??
Nawaza wanume wote hao walipima afya kabla ya kuingia kavu maana niwazi ndoa hawatumia condom,.
Je Kwa waislam Mwanaume ana ruhusa ya kuoa mara4 vip kuhusu Mwanamke anaolewa mara ngap?View attachment 2061475
Pointkama mambo hayaendi aachike tu hata mara 1000!!!!
kung'ang'ania ndoa kisa macho ya watu ndiko kunakowaumiza wanawake wengi!!!!!!!
Wanakuwa wanajuana cuteHawa mashemeji sahivi matumbo joto.....