qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Hayo mawazo potofu. Dida ni mjasiriamali uwa anasafiri kufata mzigo
Izo ni ofisi za timesfm watanzania mnanini nyinyi aaaaahaaaaa ana gari moja tu verosa kweli shigongo anajua kuchota akili za watu ..i knw here anapanga mwananyamala hana zaidi
Inawezekana ni vyake Dida namjua ni mjasiriamali uwa anaenda china kufata mzigo na nyie muende china trip moja tu inabadilisha maisha yako
Kufata au Kupeleka???Inawezekana ni vyake Dida namjua ni mjasiriamali uwa anaenda china kufata mzigo na nyie muende china trip moja tu inabadilisha maisha yako
Inawezekana ni vyake Dida namjua ni mjasiriamali uwa anaenda china kufata mzigo na nyie muende china trip moja tu inabadilisha maisha yako
Boutique.Mh! Nje na utangazaji anafanya ujasiriamali upi mwingine?