TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Kazi kwelikweli. Na pia kansa inaua watu jamani. Sijui shida ni nini
Mdogo mdogo inakua severe...
Kuna hii ya matiti ipo speed, 3 people in my circle imewaondoa na mmoja alikua cleared kabisa India kwamba amepata nafuu, akavuta kabla hajarudi

Na cervical pia, jirani yangu imemuondoa late 30s
 
Hii ya matiti kubwa ni kutonyonyesha vzr..
 
Haya sawa. Harusi ni tarehe 30 β€˜Oktomba’.

Zingatia mwezi hapo πŸ˜‰.
 
Hii ya matiti kubwa ni kutonyonyesha vzr..
Sidhani..... labda kama kuna study imenipita share link

Wa kwanza alifariki last born wake akiwa 18+
Wa pili kafariki last born wake 25+
Wa mwisho alifariki last born wake ni mkubwa kiasi ila sina uhakika na umri wake
 
Mdogo mdogo inakua severe...
Kuna hii ya matiti ipo speed, 3 people in my circle imewaondoa na mmoja alikua cleared kabisa India kwamba amepata nafuu, akavuta kabla hajarudi

Na cervical pia, jirani yangu imemuondoa late 30s
Dada yangu ya titi imemuondoa, wifi zangu wa 2 ya utumbo. Nawajua wengi wamekufa kwa kansa tofauti.
 
Sidhani..... labda kama kuna study imenipita share link

Wa kwanza alifariki last born wake akiwa 18+
Wa pili kafariki last born wake 25+
Wa mwisho alifariki last born wake ni mkubwa kiasi ila sina uhakika na umri wake
Ni kisababishi pia...
 
Naombeni waume zake waliowahi kumuoa na kumuacha!
Naombeni mnijuze, je mbinguni atakapoenda baada ya kuombewa, atakuwa na mume yupi?
Je, hapo Shekilango, alikuwa anakaa na wazazi wake ama anakaa gheto?
Je, watangazaji waliobaki, wenye maisha kama yake wamejifunza kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…