TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Kazi kwelikweli. Na pia kansa inaua watu jamani. Sijui shida ni nini
Mdogo mdogo inakua severe...
Kuna hii ya matiti ipo speed, 3 people in my circle imewaondoa na mmoja alikua cleared kabisa India kwamba amepata nafuu, akavuta kabla hajarudi

Na cervical pia, jirani yangu imemuondoa late 30s
 
Mchumba umepata, anza shamrashamra za kunivisha pete mchuchu mimi 😊.

Halafu tuwe tunaachana kila baada ya mwaka halafu tunarudiana kuoana tena tuweke rekodi yetu...☺.

Sharti hakuna kuchepuka, tukitaka kuchepuka tuchepuke kwetu sisi sisi, yaani uchepuke na mimi na mimi nachepuka na wewe halafu tunafumaniana tunaachana halafu tunarudiana tena....😁😁😁😁

Kama hujaelewa wewe ni manangumene nkunyole....😆😆😆😆.
Haya sawa. Harusi ni tarehe 30 ‘Oktomba’.

Zingatia mwezi hapo 😉.
 
Hii ya matiti kubwa ni kutonyonyesha vzr..
Sidhani..... labda kama kuna study imenipita share link

Wa kwanza alifariki last born wake akiwa 18+
Wa pili kafariki last born wake 25+
Wa mwisho alifariki last born wake ni mkubwa kiasi ila sina uhakika na umri wake
 
Mdogo mdogo inakua severe...
Kuna hii ya matiti ipo speed, 3 people in my circle imewaondoa na mmoja alikua cleared kabisa India kwamba amepata nafuu, akavuta kabla hajarudi

Na cervical pia, jirani yangu imemuondoa late 30s
Dada yangu ya titi imemuondoa, wifi zangu wa 2 ya utumbo. Nawajua wengi wamekufa kwa kansa tofauti.
 
Sidhani..... labda kama kuna study imenipita share link

Wa kwanza alifariki last born wake akiwa 18+
Wa pili kafariki last born wake 25+
Wa mwisho alifariki last born wake ni mkubwa kiasi ila sina uhakika na umri wake
Ni kisababishi pia...
 
Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili.

Amefariki usiku wa leo.
---
TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mtangazaji mwenzake, Maulid Kitenge, kupitia mtandao wa X, Dida alikuwa amelazwa Hospitalini hapo baada ya kuugua.
Naombeni waume zake waliowahi kumuoa na kumuacha!
Naombeni mnijuze, je mbinguni atakapoenda baada ya kuombewa, atakuwa na mume yupi?
Je, hapo Shekilango, alikuwa anakaa na wazazi wake ama anakaa gheto?
Je, watangazaji waliobaki, wenye maisha kama yake wamejifunza kitu?
 
Back
Top Bottom