Mdogo mdogo inakua severe...Kazi kwelikweli. Na pia kansa inaua watu jamani. Sijui shida ni nini
Kuna hii ya matiti ipo speed, 3 people in my circle imewaondoa na mmoja alikua cleared kabisa India kwamba amepata nafuu, akavuta kabla hajarudi
Na cervical pia, jirani yangu imemuondoa late 30s