TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Naomba kujua alikuwa partner wa nani redioni
 
View attachment 3115402


View attachment 3115449

Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili

Amefariki usiku wa leo
Pole sana kwa wafiwa, ila wanadamu jueni maisha yanapita, ngono zinapita, pesa zinapita, kila kitu unachokiona kinapita, everything in this world shall fade away, cha muhimu unachotakiwa kujiuliza ni, utakapokufa utaenda wapi? motoni au uzimani?

Where will you spend your eternity? hilo ndio liwe swali la kujiuliza kila utakapoamka, kwasababu hujui utakufa lini. Nina uhakika, as long as alikuwa Mtanzania, alishasikia injili ya Yesu Kristo, na ninyi nyote mnaosoma hapa hakuna siku ile atasema mbele za kiti cha hukumu kwamba hakusikia habari za Yesu Kristo, wote mmeshasikia hivyo ni hiari yenu kuamua hatima ya maisha yenu ya baadaye.

Mungu awasaidie
 
DIDA mi ndoa mwenye NDOA zake, inahuzunisha.

Tz nzima sikuona mwenye anamuweza DIDA kipindi cha Mipasho.

naamini hata wanaofanya utangazaji aina yake wote walikua wakimtazama kama kioo chao.

Maisha ni safari tusiyojua mwisho wake lini,inauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…