TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Habari wadau,tumepoteza mtanzania mwenzetu mtangazaji wa Wasafi fm/tv Dida Mashamshamu.

Chakushangaza Wasafi imechelewa kutoa taarifa wakati Crown fm wakiwatangulia kutoa taarifa za kifo chake.

Japo chanzo cha kifo chake bado hakijawekwa wazi ila wasafi kuchelewa kutoa taarifa walikuwa wanapaka makeup maiti au?😭😭
 
Kwahiyo mlidhani Watu wanalazwa kwa Sababu Gani? Utalazwa ukiwa Haujaugua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…