Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Duh!! I can't believe it!! Kumbe na wewe huwa unakuja huku kwenye majukwaa legelege!!.... Mimi nimezoea kukuona kule kwenye mada nzito nzito tu!Mtoa Ubuyu ni mtamu ila chini sijaelewa katiak Picha ya AISHA Umeandika ameshaolewa Tanga, kwa maana hiyo bwana Issa ni single kwa sasa??, na kama Aisha ameshaolewa kwanini anaondelea kumuombea Dida mabaya?? Dida nawe chuo cha 4 sasa isije ikawa wavunja ndoa za watu halafu wala simkaaji na hao waume, na ukumbuke unachofanyia wenzio na wewe utafanyiwa. utakuja porwa juu juu, yetu macho, hukuwa na haja ya kumchukua jumla jumla ruksa wa 4 ungekubali ukawa mke wa pili angalau.