Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Hapana mama,anzisha tu wewe nishakuvulia kofia.
Ukishaanzisha tu naja kujazia na tutaenda sawa kama hapa.
Nafurahia kusoma vichambo vyako zaidi,hadi napata mzuka wa kuandika umbea.
Teh Teh
Habari yako Kamanda?
Nimeambiwa nikupe hii zawadi kabla uzi haujafungwa...
uploadfromtaptalk1460373800583.jpg
 
Hahahhaah.....jamani watu kwa kupenda ubuyu siwawezi.
Chaaaaaa!!!!!
Eti madikodiko....wewe!!!!

DaJane tunaomba utupe back up plan......ili tukikukosa hapa wakwetu tukupate wapi........sio kwa afya hii.....
Wakuzi hawakawi kubonyezabonyeza visivyowahusu.......
 
Hiki kichambo hata angekuwa hayupo huku lazima angeitafuta JF aje asome.
Tunamtaka Lulu kwanza,Mange baadae.
Na tutakopi na kupesti kutoka kwa kiboko yake Kichwapanzi.
Kichwapanzi oyeeeee!
Kiboko ya Mange,kakonda kwa vichambo vya kichwapanzi anasingizia diet.
nahisi bado amelala akiamka tu lazima awachambe kina naky ....maana bibi yule kwa kupenda mabaya yawakute wenzie...
 
nahisi bado amelala akiamka tu lazima awachambe kina naky ....maana bibi yule kwa kupenda mabaya yawakute wenzie...
Sana mupenzi..ile mama inapenda wenzie wakipata misukosuko yani huko atakua anaandaa makala kwa dougie Mange ana shida sio bure!! Ile chuki iko beyond normal khaaa leo Anne Kilango atakufa nae na sijui kalala mana yule huwa anapost muda wowote ndani ya masaa24
 
DaJane tunaomba utupe back up plan......ili tukikukosa hapa wakwetu tukupate wapi........sio kwa afya hii.....
Wakuzi hawakawi kubonyezabonyeza visivyowahusu.......
Wanifate mara ngapi shouga?
Yaani mie nina gundu, sijui la nchi gani!!
Ila tutaenda sawa....maadam washaniambia napokosea.
lohhh!!!!!
Mie nina Id hii hii..... (hahhaaaahahahah)
 
Dida huyu wa sasa ukionyeshwa zile picha zake wakati anaigiza kaole utasema sio yeye
 
Back
Top Bottom