Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Hahahahahaaaa
Kweli rafiki yangu Mbimbinho hunitakii mema.
Unadhani hata ukiniona ukaambiwa ndio mimi mbea utaamini?
Umbea wangu ni wa mitandaoni tu.
Katika maisha ya kawaida mimi ni binti mwema.

hahahahaaaaaaa., mwanzoni pia nilikuwa nakuona uko too far na hizi hobbies.. teh teh teh
 
Niolewe na huo muda wa kuzunguka kutwaaa manjiani kuchuma mabuyu nitaupata wapi?
Nenda kwa Nifah au smileagain.....ma-single lady wakaksi, mie mwenzio mmbea.....kigoma cha uruguay kikinikosa mie nyumbani utasutwa wewe ujue.
Aaaaaah bwana DaJane
Mimi ni shemeji yake laki si pesa. Halafu kwani hajawaona hao wote hadi akupoint wewe?
Usimfanyie hivyo shemeji yangu.
Tena ndio vizuri uwe mjengezi mwenzangu...
Huhuuuuuu utaniharibu maana umbea wa mtaani siujui.

Hahahahaaaa eti utamsuta yeye.
Huyo nae yumo shoga,mbea huyo hatariiiiiii
Niulize mimi shemeji yake.
 
hahahahaaaaaaa., mwanzoni pia nilikuwa nakuona uko too far na hizi hobbies.. teh teh teh
Ulidhani napenda movie za kikorea tu eeeh?
Tena siku hizi nimeacha kuangalia,napiga umbea tu!
 
Ulidhani napenda movie za kikorea tu eeeh?
Tena siku hizi nimeacha kuangalia,napiga umbea tu!

Mi nilijua umkorea tu maana ndiko ulikokuwa active, kumbe mambo ya magomeni na kino ndo hobi yako
 
Mange kashaamka na mama Nackitia na Glammadam
Anadai hachambi sana kwasababu ya conflict of interest[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti anaomba Magu ampe ye ukuu wa mkoa atafanya role 2 PER ukuu wa mkoa na ukamanda wa madawa ya kulevya huko Shinyanga
 
Huu ni ubuyu wa zenji tena grade one. Da Jane nimeona umesifiwa kwenye ka blog uchwara nimeona insta kwa baby ake.[emoji1] [emoji1] [emoji1] we ni yupi Kati ya malkia wa kuchamba,baby ake, limao zinakuhusu na Mrs arsene wenger[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] maana duh uchambaji Kama unafanana vile[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nyie wambea nyie, ila umbea afya ya mwili na ubongo.
Hahahhhahha.....mwambieni na nsalu apashe moto kabisa ile ngozi ya kuwambia kile kigoma cha uruguay
hahahah raha ya umbea uwe na mafileee yooote kama yako dajane unatiririka tyuu..wacha tuzogoe buana..ofisin penyewe pasha nuka kila siku ni kutumbuliwa majibu..hahah ngoja tupunguzie machungu pande hiziii kamanda akitoka lulu naomba afuate mange kimaviiii.....tumsaidie kichwa panzi kaziii
 
Kichwapazii ashafungiwa account ya insta maana namsearch simuoni.
 
Ila mi nakisubiri kichambo cha Lulu kwa hamu Sana na vile alivyo mfupi Kama tai[emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Huu ni ubuyu wa zenji tena grade one. Da Jane nimeona umesifiwa kwenye ka blog uchwara nimeona insta kwa baby ake.[emoji1] [emoji1] [emoji1] we ni yupi Kati ya malkia wa kuchamba,baby ake, limao zinakuhusu na Mrs arsene wenger[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] maana duh uchambaji Kama unafanana vile[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

charty, DEMBA, Nifah, smileagain, lady in red10, Dinazarde, nsalu, Ms.Lincoln, angelita, Preta, christine ibrahim
Screenshot_2016-04-11-21-16-12-1.png
 
Ila mi nakisubiri kichambo cha Lulu kwa hamu Sana na vile alivyo mfupi Kama tai[emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tena tai za wahudumu wa hotelini
 
Back
Top Bottom