Dida Shaibu wa Wasafi FM kama Mwijaku. Upeo wao ni mdogo sana

Huwa nasikitika kwenye inshu za hesabu,unakuta watangazaji wote waliopo kwenye kipindi wanashindwa kutoa jibu la hesabu linalokuwa linaongelewa
Hesabu ndio ugonjwa mkubwa kwao
 
Bongo wenye pesa wengi ni mabasha, ndio sababu ukichunguza Bongo watu smart kichwani ndio wanaotaabika na maisha na hawatoki, lakini hii mibwabwa inabadiri magari tu.
Duh!...
 
Watangazaji wengi haswa wasafi ni wapumbavu,wajinga na malimbukeni hivo hivo kwa clouds nnmeacha kusikiliza radio na kuangalia t.v za bongo zaidi ya miaka 10 sasa kutokana na hawa wapuuzi.
Mkuu hata wakina masoud kipanya na babra wa power breakfast????? ,,, au kipindi cha jioni cha jahazi??? Nilikiwa nasikiliza zamani na naona walikuwa vizuri kwenye upeo wa kuelezea mambo
 
Watanzania tuna matatizo sana! Yaani wote mlokoment mmeshindwa kujua kama moshi kuna mlima kilimanjaro?

Kama haupo moshi uko wapi sasa?
Na wewe ungejibu "upo Mkoa wa Moshi " ??
 
Wasafi inamiaka minne we umeacha kusikiliza miaka 10 iliyopita,Sasa umejuaje Kama hao watangazaji ni malimbukeni ilihali hausikilizi?
Hivi ulitaka ujue namna gani kuwa huyo mwandishi wa hiyo post ni mbatata?
 
Watanzania tuna matatizo sana! Yaani wote mlokoment mmeshindwa kujua kama moshi kuna mlima kilimanjaro?

Kama haupo moshi uko wapi sasa?
Kwani kuna ambae amepinga kwamba mlima kilimanjaro haupo moshi? 😀
 
Watangazaji wengi haswa wasafi ni wapumbavu,wajinga na malimbukeni hivo hivo kwa clouds nnmeacha kusikiliza radio na kuangalia t.v za bongo zaidi ya miaka 10 sasa kutokana na hawa wapuuzi.
Wewe ni limbukeni hiyo miaka 10 Wasafi media ilikuwepo?
Huangalii tv za kibongo kweli kabisa au unatuona sisi malofa
 
Wewe lofa kweli watangazaji walioko wasafi wamefanya kazi media nyingine kabla ya kuenda pale kua mwelewa wewe zuzu.
 
Radio station s nyingi zinajiendesha kibiashara na biashara inakwenda sambamba na mahitaji ya walaji kwenye jamii husika......hao watangazaji na content zao kwenye radio ndio takwa la jamii......jamii yetu imezama kwenye tope la upumbavu na ujinga..... wajasiliamali wa radio station wanatumia ujinga huo kujitajirisha......

Zile mada na porojo za kipuuzi kwenye hizo radio na tvs stations ndio zenye wasikilizaji na watazamaji wengi na ndio zenye kuvuta matangazo mengi ya kibiashara.......

Akili za waTanzania walio wengi wako obsessed na vitu vya kipuuzi vinavyotokea kwa misimu........

Haya yanayotokea kwenye hivi vituo vituo mengi yao ni kulingana na kundi kubwa la wanajamii waliojawa ujinga.......

Ndio maana hata wenye weledi wameamua kujitoa ufahamu na kujivika joho la ujinga ili na wao kuambulia chochote kitu kwenye Hilo kundi la wajinga ambalo ndio la walio wengi.....

Weledi kwenye nchi hii katika nyanja mbali mbali umeharibiwa na tamaa ya pesa na utajiri........

Unachagua mwenyewe ujivike ujinga ili utengeneze pesa ama ulete weledi uzame kwenye ufukara.........
 
Bongo wenye pesa wengi ni mabasha, ndio sababu ukichunguza Bongo watu smart kichwani ndio wanaotaabika na maisha na hawatoki, lakini hii mibwabwa inabadiri magari tu.
Sijaelewa hii takwim yako umeitoa wapi,sikatai mabwabwa wanaoendesha magari wapo,ila si kweli watu smart ndo wanaotaabika unless cjui maana ya usmart au kwako magari mengi ya Dar yanaendeshwa na mabwabwa.
 
Umesema watangazaji wengi wa wasafi ni wapumbavu na hujasikiliza wala kutazama Tv za Tanzania miaka 10 iliyopita ndani ya hii miaka Tz imepitia mabadiliko makubwa sana.

Binadamu aliyekuwa na miaka 20 ana 30 sasa na ana watoto tayari, gari lililonunuliwa miaka 10 iliyopita la serikali liko hoi bin taaban B dozen hayuko tena CMG mamy baby na Remedy + Bantu hawako tena IPP.

Ruge,kibonde, mengi, magufuli n.k walikufa ina maana bado hao watangazaji wako vilevile?
 
Ishu sio umri wala magari ishu bado ujinga wapo nao hawabadiliki kifikra,kupevuka kiakili,mawazo,waono wala mitazamo wamebadilika muonekano tu.
 
Umejuaje kama hawajabadirika na hujawafuatilia wala kuwatizama kwa miaka 10?

Presenters wa Wasafi 98% hawakuwepo sokoni miaka 10 iliyopita.
Baba Levo unajua anatangazaje?
Juma Lokole je?

George Ambangile?
Ricardo Momo?
Ahmed Abdalla?
Aliyah Mohammed?
 
Hizi radio na tv zakibongo nlisha achaga kuzisikiliza toka 2010 ..... kumbe kuna watu humu bado wanapoteza mda kuzisikiliza ...kwanza hakuna jipya ntakalo pata hata nikikaa asubuhi mpaka usiku
Mi sijui kama kuna radio nyingine zaidi ya Radio Maria Sauti ya Kikristo nyumbani kwako,

Naisikiliza kwa mengi, kuna wakati inakuwa kama mbadala wangu wa kanisa, nipo kwa gari yangu natune nafuatilia ibada kuliko kuwasikiliza sijui machawa wa wasafi na clouds
 
Kuna uhusiano gani wa ushoga na utangazaji?

Ukichunguza media nyingi zimeajiri watangazaji mashoga, au tuseme wengi wenye kashfa ya ushoga…. sijawahi kuelewa hii dhana.
Kumekuchaaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bongo wenye pesa wengi ni mabasha, ndio sababu ukichunguza Bongo watu smart kichwani ndio wanaotaabika na maisha na hawatoki, lakini hii mibwabwa inabadiri magari tu.
Kumekuchaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Radio station s nyingi zinajiendesha kibiashara na biashara inakwenda sambamba na mahitaji ya walaji kwenye jamii husika......hao watangazaji na content zao kwenye radio ndio takwa la jamii......jamii yetu imezama kwenye tope la upumbavu na ujinga..... wajasiliamali wa radio station wanatumia ujinga huo kujitajirisha......

Zile mada na porojo za kipuuzi kwenye hizo radio na tvs stations ndio zenye wasikilizaji na watazamaji wengi na ndio zenye kuvuta matangazo mengi ya kibiashara.......

Akili za waTanzania walio wengi wako obsessed na vitu vya kipuuzi vinavyotokea kwa misimu........

Haya yanayotokea kwenye hivi vituo vituo mengi yao ni kulingana na kundi kubwa la wanajamii waliojawa ujinga.......

Ndio maana hata wenye weledi wameamua kujitoa ufahamu na kujivika joho la ujinga ili na wao kuambulia chochote kitu kwenye Hilo kundi la wajinga ambalo ndio la walio wengi.....

Weledi kwenye nchi hii katika nyanja mbali mbali umeharibiwa na tamaa ya pesa na utajiri........

Unachagua mwenyewe ujivike ujinga ili utengeneze pesa ama ulete weledi uzame kwenye ufukara.........
Case closed.
 
Sijaelewa hii takwim yako umeitoa wapi,sikatai mabwabwa wanaoendesha magari wapo,ila si kweli watu smart ndo wanaotaabika unless cjui maana ya usmart au kwako magari mengi ya Dar yanaendeshwa na mabwabwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, woiiiiih
 
Back
Top Bottom