Dida Shaibu wa Wasafi FM kama Mwijaku. Upeo wao ni mdogo sana

Dida Shaibu wa Wasafi FM kama Mwijaku. Upeo wao ni mdogo sana

Sio ajabu ukasikia 2025 Mwijaku akaenda kugombea ubunge kule Kazulamimba kigoma na akapata, sintoshangaa
 
gigy money kawa mtangazaji !.hizi redio za bongo
 
kuna mmoja nilimsikia akisema waziri mkuu wa kwanza wa Tanganyika ni hayati E.Sokoine nikazima redio nikawasha tv fasta.
 
ELIMU ya bongo hiyo.. mtu anamaliza na kufaulu la7 ilihali hajui mambo ya msingi, mwanafunzi ana afadhali kuliko mwalimu kuhusu uelewa wa mambo ya msingi!

Moshi, Musoma, Bukoba inajulikana ni mikoa kwa Watanzania wengi na la7 walifaulu, unashindwaje kuhitimisha kwamba tatizo ni walimu sio tu wanafunzi?
 
Back
Top Bottom