Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Mimi ni fan wa France, Nawakubali nawatabiria makubwa June 15 pale Russia lakini Giroud ni mzigo ni garasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ambae ni raia kindakindaki wa nchi ya Tanzania ukute bado unaishi na kulala kwenye masofa ya shemeji yako.hawa wachezaji wa kiafrika waliokataa uraia wa nchi zao ,goja wakatwe tu mfano. colman, na martial na wengine mafalafala
Rabiot nae kaachwa...Giroud garasa (mzigo), Nimekuwa nikiifuatilia France tangu 1998, Lakini sijawahi ona striker au forward mbovu kama Giroud.
Hapo sasa! Giroud ni mzigo na ni garasa. Akifunga goli moja basi ujue amekosa kufunga nafasi 6 za wazi.Unamuacha Lacazete unabeba Giroud??
Mbappe,griezman wote wanaweza kucheza kama striker,giroud anaenda kama plan B endapo kocha atahitaji kutumia striker mzuri kwenye mipira ya juu.Safu ya viungo na ushambuliaji imetulia kunyamaaa...ila Giroud hapana..kocha amebeti
Naomba takwimu za Giroud kwenye timu ya taifa.Giroud ni mzigo
tema mate chini mkuu. Hao ndio mabingwa wapyaHawa jamaa wakichomoka hata makundi itakuwa bahati tu
Broo umenifungua kitu hapo...lakin Martial anaweza kufaa sana kwenye plan BMbappe,griezman wote wanaweza kucheza kama striker,giroud anaenda kama plan B endapo kocha atahitaji kutumia striker mzuri kwenye mipira ya juu.
Wachezaji aina ya lacazette ambao ni mobile tayari wapo wameitwa,kwenye kikosi huwez kujaza wachezaji wa aina moja.
Naomba takwimu za Lacazette vs Giroud national team mkuu.Unamuacha Lacazete unabeba Giroud??
Hahaha mkuu hapa mapenzi ya klabu hayahusiki, kinachotakiwa ni facts tu. Unaweza kuwa mshabiki wa Arsenal kila siku unamponda Pogba lakini kwenye national team ukiwa unashabikia France itakubidi utoe support tu akicheza vizuri.who is lacazette? naona mashabiki wa arsenal roho zinawauma sana
Yupo reserve mkuu. Endapo lolote litatokea kabla ya June 14 basi ataitwaBroo umenifungua kitu hapo...lakin Martial anaweza kufaa sana kwenye plan B
Martial ni mzuri ila walioitwa ni wazuri na wanaweza fanya makubwa zaidi yake.Broo umenifungua kitu hapo...lakin Martial anaweza kufaa sana kwenye plan B
Sasa mkuu kama hicho ndo kigezo, vipi kwa mabeki maana ukiangalia Mendy alikua nje muda mrefu sana karudi juzi juzi tu lakini kaitwa, what's so special about him?Nyie mnaomponda Giroud naomb mnitajie striker yupi mwenye takwimu nzuri anaestahili kuitwa national team kuchukua nafasi yake.
Kwa sasa na kwa wachezaji wote wa ufaransa ni Giroud ndio anaongoza kwa kupachika magoli. Mpaka sasa ana jumla ya magoli 30, huyo griezman ana magoli 17 kwenye maechi 51.
Hao wakina lacazete na wengine walioachwa hata kwenye top 10 ya magoli hawamo. Giroud record zake za team ya taifa zinambeba sana.
Benzema kuna kashfa fulani sijui alifanya nini na mwenzie Valbuena wala hawawezi kuitwa. Halafu hata kama asingekua na kashfa hana chance hapoMastaa wwngine wa Ufaransa walioachwa ni pamoja na:
Karim Benzema
Kingsley Coman
Aymeric Laporte
Ben Yedder
Kwa record ya timu ya Taifa Giroud yuko juu kuliko Lacazette.Naomba takwimu za Giroud kwenye timu ya taifa.
Lacazette ameanza kuitwa 2013 ila mpaka sasa ana goli 3 tu.Kwa record ya timu ya Taifa Giroud yuko juu kuliko Lacazette.
Takwimu za Giroud ktk timu ya Taifa, Amekuwemo ktk timu ya Taifa kuanzia 2011-2018, Ana jumla ya magoli 30, Mwaka jana March 2017 aliingia ktk record ya top ten scorers of all times ya timu ya taifa akiwa na magoli 23.
Je, Lacazette ana miaka mingapi ktk timu ya Taifa?
Sawa Giroud ana rekodi nzuri kuliko wenzie. Kama asipopewa mipira ya vichwa hatutalala njaa?Nyie mnaomponda Giroud naomb mnitajie striker yupi mwenye takwimu nzuri anaestahili kuitwa national team kuchukua nafasi yake.
Kwa sasa na kwa wachezaji wote wa ufaransa ni Giroud ndio anaongoza kwa kupachika magoli. Mpaka sasa ana jumla ya magoli 30, huyo griezman ana magoli 17 kwenye maechi 51.
Hao wakina lacazete na wengine walioachwa hata kwenye top 10 ya magoli hawamo. Giroud record zake za team ya taifa zinambeba sana.