Didier Deschamps kwanini umemuacha Anthony Martial?

Safu ya viungo na ushambuliaji imetulia kunyamaaa...ila Giroud hapana..kocha amebeti
Mbappe,griezman wote wanaweza kucheza kama striker,giroud anaenda kama plan B endapo kocha atahitaji kutumia striker mzuri kwenye mipira ya juu.

Wachezaji aina ya lacazette ambao ni mobile tayari wapo wameitwa,kwenye kikosi huwez kujaza wachezaji wa aina moja.
 
Nyie mnaomponda Giroud naomb mnitajie striker yupi mwenye takwimu nzuri anaestahili kuitwa national team kuchukua nafasi yake.


Kwa sasa na kwa wachezaji wote wa ufaransa ni Giroud ndio anaongoza kwa kupachika magoli. Mpaka sasa ana jumla ya magoli 30, huyo griezman ana magoli 17 kwenye maechi 51.


Hao wakina lacazete na wengine walioachwa hata kwenye top 10 ya magoli hawamo. Giroud record zake za team ya taifa zinambeba sana.
 
ila kumuacha Rabiot na Kurzawa pia sijaelewa kwa kweli..yaani anamchukua mtu aliyetoka majeruhi Mendy
 
Broo umenifungua kitu hapo...lakin Martial anaweza kufaa sana kwenye plan B
 
who is lacazette? naona mashabiki wa arsenal roho zinawauma sana
Hahaha mkuu hapa mapenzi ya klabu hayahusiki, kinachotakiwa ni facts tu. Unaweza kuwa mshabiki wa Arsenal kila siku unamponda Pogba lakini kwenye national team ukiwa unashabikia France itakubidi utoe support tu akicheza vizuri.
 
Broo umenifungua kitu hapo...lakin Martial anaweza kufaa sana kwenye plan B
Martial ni mzuri ila walioitwa ni wazuri na wanaweza fanya makubwa zaidi yake.

Kwa mtazamo wako ni nani angeachwa badala ya martial??
 
Sasa mkuu kama hicho ndo kigezo, vipi kwa mabeki maana ukiangalia Mendy alikua nje muda mrefu sana karudi juzi juzi tu lakini kaitwa, what's so special about him?
 
Mastaa wwngine wa Ufaransa walioachwa ni pamoja na:

Karim Benzema
Kingsley Coman
Aymeric Laporte
Ben Yedder
Benzema kuna kashfa fulani sijui alifanya nini na mwenzie Valbuena wala hawawezi kuitwa. Halafu hata kama asingekua na kashfa hana chance hapo
 
Naomba takwimu za Giroud kwenye timu ya taifa.
Kwa record ya timu ya Taifa Giroud yuko juu kuliko Lacazette.
Takwimu za Giroud ktk timu ya Taifa, Amekuwemo ktk timu ya Taifa kuanzia 2011-2018, Ana jumla ya magoli 30, Mwaka jana March 2017 aliingia ktk record ya top ten scorers of all times ya timu ya taifa akiwa na magoli 23.
Je, Lacazette ana miaka mingapi ktk timu ya Taifa?
 
Lacazette ameanza kuitwa 2013 ila mpaka sasa ana goli 3 tu.
 
Sawa Giroud ana rekodi nzuri kuliko wenzie. Kama asipopewa mipira ya vichwa hatutalala njaa?
Foward au Striker anayefunga kwa miguu pamoja na kichwa ndiyo chaguo sahihi.
Tunahitaji plan B,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…