Die Glockie: Je, ni kweli chombo hiki chenye nguvu ya ajabu, Hitler alikitumia kuunda silaha za ajabu na kufanya time traveling?

Safi Mkuu, sasa tafuta picha ya iliotengenezwa na Mjerumani.
Historia tunayofunzwa katungwa na mzungu na kuaminishiwa kuwa ukweli hata hiyo biblia katangenezwa Karne ya 19. Teknolojia ya hapo awali ilikuwa ya juu zaidi kuliko ya sasa. Africa tulipigwa mabomu hapo kale 1500-1750.
Wakati wa vita hutoroki na vitabu,nguo Wala mashine, nguo huraruka ikabidi ukae uchi Kwa kuwa uwezo wa kutumia pamba kama Uzi hauna kama ulizoea mashine na kununua dujani..I hope unanipata?
 
Achana na vitu vya kufikirika ambavyo havina ushahidi; waliopigwa mabomu ya ajabu wapo wengi; hivi bomu la HIROSHIMA na Nagasaki kule Japan si ni miaka ya juzi tu, na baadhi ya watu walio shuhudia hicho kitu bado wapo HAI!? Again, kama (kama ni kweli lakini ) babu zetu walipigwa mabomu miaka 1500-1750 bado huoni hawa jamaa wametuzidi mbali sana, miaka ya kina Mkwawa na kina Kinjekitile wamepigana kwa mikuki miaka ya juzi tu hapo yaani 1880-1907, wenzetu walikua na mabomu miaka 1500-1750 (hi nimetoa kwako na ramani yako ) huoni kama KIAKILI wapo very far above us; Haya Japan walipigwa bomu mwaka 1945 lakini leo kampuni yao ya Toyota over 30 years ndio the No 1 motor vihecle company in the world in sells, wao hawasingizii kupigwa mabomu, sisi tunasingizia mabomu (ambayo wala hatuna uhakika kama kweli tulipigwa) mwaka 1500-1750, none nense; naendelea kujiuliza kama hawa watu weupe ni binadamu kama sisi; tubishane but inafikirisha HASA
 
Huyo ni moja ya watu wanaoamini kwamba tech kwa asilimia kubwa imetoka kwa watu weusi, wanaamini kua mtu mweusi ndo mwanzilishi wa mambo kibao.
Wanadai hapo kale blacks walikua mbele kimaendeleo kuliko mzungu.

Hii nadharia yao inashangaza sana, hivi kweli wewe ulikua mbele kimaendeleo unakuja tawaliwa na aliekua nyuma kabisa kwako, tena bahati mbaya zaidi hata hiyo historia ya kua mlikua mbele mnaitoa kwa hao waliokua nyuma, nyie hamna source yoyote kutoka kwa vizazi vyenu kuthibitisha kua mlikua mbele.

Hizo huwa ni bogosha za kuwafariji watu weusi mkuu, ila kiuhalisia ni kua hatujawahi kua mbele ya mzungu labda siku zijazo.
 
Hivi kwanini mtu mweusi anapenda sana wa kumtupia lawama.
Yaani kufeli kwetu tunamsingizia mzungu daah.

Na je na huko hiroshima na nagasaki nako ni jangwa kama hilo la namib??

Wanatafuta kujiteyea mkuu, ile race achana nayo imetuacha mbali mno.
 
Mkuu kumbe huwa uko timamu?
 
Mpka hapo hatoludi tena
 
Hiki kifaaa hakina tofauti na vimanas kwenye maandishi ya kihindu.
Nazis walikuwa wana projects kibao ambazo nyingine zimebaki kuwa siri.
 
Hiki kifaaa hakina tofauti na vimanas kwenye maandishi ya kihindu.
Nazis walikuwa wana projects kibao ambazo nyingine zimebaki kuwa siri.
Naaam project zao zilikuwa nyingu qmabazo pia zilikuwa assisted na Kundi la Thule society ambazo hazijaongelewa hapa kundi ambalo bwana wao adolph alikuwa member huko
 
All conspiracies

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…