mtoto wa mjin
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 589
- 566
Drogba ni legend sababu alikaa muda mrefu..unafikir roben kwa mfano angekaa hata misimu mitano angekuwa legend??mkuu una mcompare vipi drogba legend na costa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drogba ni legend sababu alikaa muda mrefu..unafikir roben kwa mfano angekaa hata misimu mitano angekuwa legend??mkuu una mcompare vipi drogba legend na costa??
Sawa, but unakosaje magoli matatu na zaidi ukiwa one on one, na si mechi moja tu, angalia mechi ya Stoke city pia, several timesmkuu ila naye ana score magoli flani ya vichwaaa
Utazungumziaje mafanikio hewa ya Costa kwamba angekaa muda mrefu angekuwa kama Drogba au zaidi?Nyinyi mna mahaba na drogba..labda kwa sababu ni muafrica mwenzetu..hoja zangu ni..angalia msimu wa kwanza wa drogba na Diego walifunga goli ngap ngap??nan alikuwa wa kwanza kufikisha goli 50..??angalia ratio ya goal per game..kama Diego angekaa at least misimu saba tuu..angekuwa all time goal scorer wa Chelsea...Costa ni jeshi la mtu mmoja...
Sure kakaSi kwel..fanya ww upembuzi wako..msimu wa kwanza Drogba alifunga goli ngap??na Costa alifunga ngap??angalia ratio ya goal per game..costa alikuwa ni jeshi la mtu mmoja akiwa mbele..Drogba alikaa muda mrefu..kama Costa angekaa misimu kumi kama didier..angevunja record ya lamps..
Kabisa mkuu, unajua nimejifunza kwamba, kuna mastriker wa timu ndogo, na wa timu kubwa.Tofauti ya Lukaku na Morata na rangi tu lakini vilivyobaki wanafanana!
We soka unaijua, nakupa tanoNyinyi mna mahaba na drogba..labda kwa sababu ni muafrica mwenzetu..hoja zangu ni..angalia msimu wa kwanza wa drogba na Diego walifunga goli ngap ngap??nan alikuwa wa kwanza kufikisha goli 50..??angalia ratio ya goal per game..kama Diego angekaa at least misimu saba tuu..angekuwa all time goal scorer wa Chelsea...Costa ni jeshi la mtu mmoja...
Ndio maana nikakuuliza angalia misim yao ya kwanza epl..angalia ratio ya goal per game..angalia who was the first to reach 50 goals in fewer game..kwa misim mitatu aliyokaa chelsea Costa scored many goals compared to drogba' s first three seasons in epl..fuatiliaUtazungumziaje mafanikio hewa ya Costa kwamba angekaa muda mrefu angekuwa kama Drogba au zaidi?
Unaweza ukawa mzuri kwa misimu 2 au 1 tu ukafifia kabisa, kwahiyo kulinganisha mafanikio ya Drogba na Costa pale Chelsea ni tusi kubwa sana kwa Drogba
Watu wana mahaba na Drogba tuu..mm naijua chelsea ingawa sio muhenga..ila nilianza kuishabikia since 1996..tena first game kuona ilikuwa na Leicester chelsea walifungwa 3 kwa 2...nimewaona mastraika weng wa Chelsea..kina flo,sutton,viali,hasselbaink,mutu,crespo,eidur,drogba,Costa, na sasa alvaro...ila trust me..costa ni prolific kama ilivyokuwa kwa Jimmy Floyd hasselbaink....drogba hawafikii hawa..ingawa haimuondolei didier legendary status yake..amefunga goli muhim kwenye history ya chelsea..amefunga kwenye final nying pale Wembley..Sure kaka
Drogba was good, pretty good, ni legend, ila costa ni habari nyingine pia.
Mind that, lampard ndio all time goal scoarer wa chelsea na sio drogba, why ??.
Angekuwapo costa, tungekuwa ngoma droo na man city nakuambia.
hahahaa Drogba ule ni. moto mwingine mkuuuMimi ni Shabiki wa Man U ila kulinganisha Drogba na Costa ni Makosa makubwa tena ya kinidhamu.
Drogba ni Chupa iliyopasuka ukikanyaga vibaya lazima ukuchane.
Costa has the best strike rate of any chelsea player since English football's top flight rebranded itself as a premier league in 1992..This debate is not about drogba the legend ,though,it's Drogba the player..Costa's goals helped chelsea to win tittle in his first season in epl..bu Garry Hayes of four four two..Mimi ni Shabiki wa Man U ila kulinganisha Drogba na Costa ni Makosa makubwa tena ya kinidhamu.
Drogba ni Chupa iliyopasuka ukikanyaga vibaya lazima ukuchane.
Costa mapema sana aliomba aondoke chelsea hapo Conte aliendelea kushawishi mpaka msimu ulipoisha ndo Conte akasema Costa hatakuwepo kwenye mpango wake msimu ujao. So kutokuwa na maelewano mazuri ndo sababu ya Costa kuondoka Chesea ila pia ukumbuke Costa ni mkorofi acha aende.Wakuuu herry ya mwaka mpya...
Kwanza kabisa mimi nimekuwa shabiki mkubwa sana wa Timu pendwa ya Chelsea.
Huwa nakaa na kutafakari sababu iliyomfanya Conte amuuze Costa na kuchukua Morata ilhali Costa alikuwa ana score magoli mengi sana, pia alisaidia chelsea kutwaa ubingwa msimu ulio pita
Naomba wazoefu mnijulishe vigezo alivyotumiaa Kocha huyu
Naomba kuwasilisha...
Morata ni mzuri kuliko Costa sema ndo msimu wake wa kwanza pale darajani. Ila jana kanikwaza sana kakosa magoli matatu ya wazimkuu ila naye ana score magoli flani ya vichwaaa
kama yule konokono TORRESWachezaji wote Chelsea imewahi nunua kwa bei ghali hawajawahi fanya la maana