Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Hata mimi ni shabiki wa Chelsea kindakindaki. Kama Diego Costa angekuwepo leo hii tungekuwa tunaongoza ligi.Wakuu heri ya mwaka mpya...
Kwanza kabisa mimi nimekuwa shabiki mkubwa sana wa timu pendwa ya Chelsea.
Huwa nakaa na kutafakari sababu iliyomfanya Conte amuuze Costa na kuchukua Morata ilihali Costa alikuwa ana score magoli mengi sana, pia alisaidia Chelsea kutwaa ubingwa msimu uliopita.
Naomba wazoefu mnijulishe vigezo alivyotumiaa Kocha huyu
Naomba kuwasilisha...
Inasemekana Conte aligombana na Costa mwaka jana mwezi wa kwanza ambapo Costa alitaka kuuzwa ili aende China, lakini Conte akambania.