kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
- Thread starter
- #41
harzad ni. next level yule mzee sema bado nyotaa haija mnyookeaa vizuriiiChelsea wamekua wanakosea kwenye usajili na siku zote wanatumia hela nyingi kuliko kiwango Cha mchezaji
Hazard twamkumbatia tu ila zaidi ya kukimbia kimbia han msaada