Diego Costa vs A. Morata

mkuu ila naye ana score magoli flani ya vichwaaa
Sawa, but unakosaje magoli matatu na zaidi ukiwa one on one, na si mechi moja tu, angalia mechi ya Stoke city pia, several times

Striker ghali kiasi kile kwa timu kubwa kama Chelsea, dunia nzima inamdiscuss yeye tu kwa sasa
 
Utazungumziaje mafanikio hewa ya Costa kwamba angekaa muda mrefu angekuwa kama Drogba au zaidi?

Unaweza ukawa mzuri kwa misimu 2 au 1 tu ukafifia kabisa, kwahiyo kulinganisha mafanikio ya Drogba na Costa pale Chelsea ni tusi kubwa sana kwa Drogba
 
Sure kaka

Drogba was good, pretty good, ni legend, ila costa ni habari nyingine pia.

Mind that, lampard ndio all time goal scoarer wa chelsea na sio drogba, why ??.

Angekuwapo costa, tungekuwa ngoma droo na man city nakuambia.
 
We soka unaijua, nakupa tano
 
Utazungumziaje mafanikio hewa ya Costa kwamba angekaa muda mrefu angekuwa kama Drogba au zaidi?

Unaweza ukawa mzuri kwa misimu 2 au 1 tu ukafifia kabisa, kwahiyo kulinganisha mafanikio ya Drogba na Costa pale Chelsea ni tusi kubwa sana kwa Drogba
Ndio maana nikakuuliza angalia misim yao ya kwanza epl..angalia ratio ya goal per game..angalia who was the first to reach 50 goals in fewer game..kwa misim mitatu aliyokaa chelsea Costa scored many goals compared to drogba' s first three seasons in epl..fuatilia
 
Sure kaka

Drogba was good, pretty good, ni legend, ila costa ni habari nyingine pia.

Mind that, lampard ndio all time goal scoarer wa chelsea na sio drogba, why ??.

Angekuwapo costa, tungekuwa ngoma droo na man city nakuambia.
Watu wana mahaba na Drogba tuu..mm naijua chelsea ingawa sio muhenga..ila nilianza kuishabikia since 1996..tena first game kuona ilikuwa na Leicester chelsea walifungwa 3 kwa 2...nimewaona mastraika weng wa Chelsea..kina flo,sutton,viali,hasselbaink,mutu,crespo,eidur,drogba,Costa, na sasa alvaro...ila trust me..costa ni prolific kama ilivyokuwa kwa Jimmy Floyd hasselbaink....drogba hawafikii hawa..ingawa haimuondolei didier legendary status yake..amefunga goli muhim kwenye history ya chelsea..amefunga kwenye final nying pale Wembley..
 
Kwan morata kafanyeje wadau jana maaana kila kona duniani wanamlaumu morata.. hebu tuambiane kafanyeje..?
 
Tatizo la wabongo wana tabia ya uyanga na usimba sasa wanapeleka hadi ulaya morata hadi sasa ana goli ngapi na na ana misimu mingapi
 
Mimi ni Shabiki wa Man U ila kulinganisha Drogba na Costa ni Makosa makubwa tena ya kinidhamu.

Drogba ni Chupa iliyopasuka ukikanyaga vibaya lazima ukuchane.
Costa has the best strike rate of any chelsea player since English football's top flight rebranded itself as a premier league in 1992..This debate is not about drogba the legend ,though,it's Drogba the player..Costa's goals helped chelsea to win tittle in his first season in epl..bu Garry Hayes of four four two..
 
Costa mapema sana aliomba aondoke chelsea hapo Conte aliendelea kushawishi mpaka msimu ulipoisha ndo Conte akasema Costa hatakuwepo kwenye mpango wake msimu ujao. So kutokuwa na maelewano mazuri ndo sababu ya Costa kuondoka Chesea ila pia ukumbuke Costa ni mkorofi acha aende.
 
Chelsea wamekua wanakosea kwenye usajili na siku zote wanatumia hela nyingi kuliko kiwango Cha mchezaji
Hazard twamkumbatia tu ila zaidi ya kukimbia kimbia han msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…