Diego Costa vs A. Morata

Chelsea wamekua wanakosea kwenye usajili na siku zote wanatumia hela nyingi kuliko kiwango Cha mchezaji
Hazard twamkumbatia tu ila zaidi ya kukimbia kimbia han msaada
harzad ni. next level yule mzee sema bado nyotaa haija mnyookeaa vizuriii
 
Kocha wenu si alikuwa anasema Costa jeuri sana, ila ni kweli jamaa kiburi na mkorofi ila kwenye swala la ku score magoli yupo vizuri.
Conte ukatoliki wake ndo ulisababisha mpaka kumuuza costa,sasa ujeuri wa nini wakati mtu anakufanyia kila unachomuagiza???alitakiwa aangalie kama jamaa kazi anaiweza au lah,sasa anatka kila mtu amnyenyekee kama pengo kwa Ngosha???
 
Sure kaka

Drogba was good, pretty good, ni legend, ila costa ni habari nyingine pia.

Mind that, lampard ndio all time goal scoarer wa chelsea na sio drogba, why ??.

Angekuwapo costa, tungekuwa ngoma droo na man city nakuambia.
Mimi ni shabiki wa Man U, silipendagi li Costa kutokana na tabia zake, ila nakiri jamaa ni nyoko golini, mi nadhani level zake ni za Suarez, Drogba tunampenda tu ila hawezi kufunga goli nyingi kwa muda mfupi kama hao kenge wawili
 
Wengi watakubishia kwakuwa Drogba ni kipenzi cha wengi ila una point
 
Chelsea wamekua wanakosea kwenye usajili na siku zote wanatumia hela nyingi kuliko kiwango Cha mchezaji
Hazard twamkumbatia tu ila zaidi ya kukimbia kimbia han msaada
Hazard ni mchezaji mzuri sana, ni kati ya wachezaji watatu bora kabisa epl kwa zaidi ya miaka mi5 mfululizo
 
Una uhakika gani huyo costa angemaintain stata zake?
Kimsingi drogba na costa huwezi kuwalinganisha hata siku moja.
 
Una uhakika gani huyo costa angemaintain stata zake?
Kimsingi drogba na costa huwezi kuwalinganisha hata siku moja.
unaweza kuwalinganisha kulingana na nafasi wachezazo. lkinii katika kufanya mambo makubwa chelseaa Drogba ninbaba yake costa
 
Timu zinatuona wajinga ndio maana wanatuuzia magalasa

Real Madrid na Chelsea ni wahanga wakubwa wa kununua wachezaji Bei kubwa ila viwango duni

Bale
Torres
Morata
Etc
 
unaweza kuwalinganisha kulingana na nafasi wachezazo. lkinii katika kufanya mambo makubwa chelseaa Drogba ninbaba yake costa
Mimi nafikiri sio kila striker anafaa kulinganishwa na striker mwingine.Ingawa ni kawaida kulinganisha strikers!!
 
Daa kwa alichokifanya morata jana alinifanya nimkumbe Costa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…