Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Hata mimi ni shabiki wa Chelsea kindakindaki. Kama Diego Costa angekuwepo leo hii tungekuwa tunaongoza ligi.Wakuu heri ya mwaka mpya...
Kwanza kabisa mimi nimekuwa shabiki mkubwa sana wa timu pendwa ya Chelsea.
Huwa nakaa na kutafakari sababu iliyomfanya Conte amuuze Costa na kuchukua Morata ilihali Costa alikuwa ana score magoli mengi sana, pia alisaidia Chelsea kutwaa ubingwa msimu uliopita.
Naomba wazoefu mnijulishe vigezo alivyotumiaa Kocha huyu
Naomba kuwasilisha...
nimekuelewa mkuu, naskiaa china soka linalipa sanaa kulee mkuuHata mimi ni shabiki wa Chelsea kindakindaki. Kama Diego Costa angekuwepo leo hii tungekuwa tunaongoza ligi.
Inasemekana Conte aligombana na Costa mwaka jana mwezi wa kwanza ambapo Costa alitaka kuuzwa ili aende China, lakini Conte akambania.
Ndio maana kuna statistics za soka..Una uhakika gani huyo costa angemaintain stata zake?
Kimsingi drogba na costa huwezi kuwalinganisha hata siku moja.
so what???Ndio maana kuna statistics za soka..
Acha matusi.. In this world, there is only one king king of football worldwide king didier yaves drogba, Costa ni mvulana anayejua.. Ila DD ni Mwanaume wa shoka ktk sokaConte amefanya mistake sana kumuacha costa..ni bora angekuwa na wote..costa and morata...Costa ni zaidi ya Drogba..basi tuu kwa sababu Drogba alikaa miaka mingi..
Mkuuu kukaa misimu kadhaa c tija mbona hakuwahi jupo kuwa top scorer wa ligi au hilo pia lahitaj upembuz dider alkuwa ana vitu zaidi ya costa hebu tafuta game ya uefa Valencia vs Chelsea iliyo kuwa mbovu mpaka ikachukua ubingwa uoneSi kwel..fanya ww upembuzi wako..msimu wa kwanza Drogba alifunga goli ngap??na Costa alifunga ngap??angalia ratio ya goal per game..costa alikuwa ni jeshi la mtu mmoja akiwa mbele..Drogba alikaa muda mrefu..kama Costa angekaa misimu kumi kama didier..angevunja record ya lamps..
Kikosi cha Chelsea siku hiyo..cech..ivanovic..luiz..terry..cole..romeu..mata..ramires..meileres..sturidge..dididier..matokeo Chelsea 3..valencia 0..scorers didier 2..na ramires..je hiki ni kikos kibovu??uhitaji kunitajia mech moja kunionesha didier ni nan..yeye ni legend..lkn hakuwa prolific kama costa..diego has the best strike rate than any other chelsea player in epl...fuatilia hoja zangu vizuri..Mkuuu kukaa misimu kadhaa c tija mbona hakuwahi jupo kuwa top scorer wa ligi au hilo pia lahitaj upembuz dider alkuwa ana vitu zaidi ya costa hebu tafuta game ya uefa Valencia vs Chelsea iliyo kuwa mbovu mpaka ikachukua ubingwa uone
Well saidCosta kauzwa kwasababu za kinidhamu ikumbukwe hakuna mchezaji alie juu ya timu na kwa kuongezea kumfananisha Costa na Morata ni dharau kwa Costa vilevile kumfananisha Drogba na Costa ni dharau kwa Drogba.
nakuunga mkono mkuu ukijarubuu kufuatiliaa michezo miwili ambayo costa ameshiriki A. Madridi, utagunduaankbisa kjwa nidhamuu ya jamaaa badoo sanaa...shida ya costa ni nidhamu
Diego Costa anamiliki vitu viwili tu..... Yes....! Anamiliki kichwa chenye uchizi wake, na pia anamiliki miguu yenye magoli yake...... Ni nadra Sana kumuona akitumia kimojawapo ndani ya dk 90 za mchezo. Mara zote hufanya mchanganyo wa matukio ya kichwa na matukio ya Miguu.shida ya costa ni nidhamu