TANZIA Diego Maradona afariki dunia

TANZIA Diego Maradona afariki dunia

Dakika chache zilizopita nimepata kusikia taarifa hii.... Imethibitishwa kua Diedo Maradona ambaye mwezi huu alifanyiwa upasuaji wa ubongo(Brain Surgery) amefariki dunia kwa Shambulio la moto(Heart Attack) ....Binafsi sijabahatika kupata personal experience ya kumshuhudia Diego Maradona akisakata kabumbu uwanjani(namaanisha kupitia television) lakini vi clips vyake nilivyobahatika kuviona hasa katika Youtube vimenionesha jinsi gani Maradona alikua exceptional katika soka na sina shaka kuhusu hilo..... Japokua lifestyle yake naiona kama ya kihuni zaidi lakini alikua mchezaji very talented..... Binafsi namkumbuka Maradona kupitia lile bao lake la mkono alilowafunga waingereza katika fainali za kombe la Dunia na kupachikwa jina la "Mkono wa Mungu".... Maradona amefariki akiwa na umri wa miaka 60.... The legend is gone.

R.I.P Diego Almando Maradona

Unaweza onesha heshima yako kwa nguli huyu wa soka kwa kushare moja ya moments zake unazozikumbuka
 

Attachments

  • IMG-20201125-WA0097.jpg
    IMG-20201125-WA0097.jpg
    49 KB · Views: 6
Nguli wa mpira wa miguu kutokea Argentina amefariki dunia kwa matatizo ya moyo.

Unamkumbuka kwa tukio gan?
 
Diego tutakukumbuka kwa umahiri wako World Cup 1986 Barcelona. Wengi tuliweka picha zako ukutani. Ulikua mchumba wa mioyo yetu.

R. I. P

1606324941563.jpeg


During a professional career that began on a Buenos Aires field when he was 15, Maradona scored hundreds of goals, many of them the stuff of legend, including two in a single match against England in the 1986 World Cup. The first is considered by many the most notorious goal in the history of the sport, and the second among the most celebrated.


His career reached its summit when he led Argentina’s national team to victory in the 1986 World Cup. But drug abuse and other acts of self-destruction tainted his final years as a player and he retired in 1997, just a whisper of his former self.


Maradona played 91 games for the Argentine national team and was a star for teams in Italy and Spain. He played his last World Cup game in Foxboro, Mass., in 1994, escorted off the field for a drug test he would fail.


One of eight children of a laborer who had migrated to the city from rural Corrientes province, Maradona was born Oct. 30, 1960, in a “villa miseria,” or slum, in the suburban Buenos Aires community of Villa Fiorito. The family lived in abject poverty.


In his autobiography, “I Am El Diego,” he recalled walking to school kicking a ball along streets, up stairs and along railroad tracks. He spent hours playing pickup games in a nearby horse pasture.


When he was 9, a friend invited him to a tryout at the Argentinos Juniors, an adult professional soccer team. He impressed enough to earn a spot on the Cebollitas, or Little Onions, a feeder club for the team.


The Little Onions would go on to win 136 games without defeat, with young Maradona often scoring three or more goals a game.


By the time he was 12, he was working at professional games as a ball boy, becoming a favorite of the crowds for his halftime juggling skills. A television variety show invited him to show off his talents and in soccer-mad Argentina, he became a minor celebrity.


Just a few days before his 16th birthday, the coach of Argentinos Juniors brought him onto the first team. He first stepped onto the field as a substitute, with the coach telling him, “Go, Diego, and play like you know how to play. And if you can, dribble through someone’s legs.” Minutes later, the young Maradona did just that.
 
Ilikuwa mwaka 1986 nchini Mexico. Nadhani kwenye mechi ya robo fainali dhidi ya Uingereza.

Maradona aliwalamba chenga Waingereza kuanzia katikati ya uwanja hadi akaenda kucheza na nyavu.

Hapo ni baada ya goli la mkono wa Mungu.

Mwaka 1986 ulikuwa ni mwaka wa Argentina.


Hapo akiwa lamba vyenga akina tery butcher terry Fenwick na glen hoddle alikuwa miongoni mwa magoli mazuri waqt huo mnatizama recorded baada ya siku mbili kupitia mikanda ya vhs ilikuwa khatari sana.
 
Back
Top Bottom