Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Kwahiyo kabatini hakuna europa hata moja? Kwa taarifa yako liver imechukua makombe yote iliyowahi kushiriki
 
Hapo unapoleta takwimu ndio unawashika pabaya mno namm nakubaliana nawe kabsa katika last decade dominance kwenye uefa competitions All over lazma zitakuwa team za spain kubwa zote kwenye top 5 bila kupepesa macho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkumbuke Napoli kawatafutisha sare hapo honey field

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiwango cha jana cha liver dhidi ya west ham ni uthibitisho kuwa at.madrid watampiga liver na kufuzu robo ya UCL!!
 
kiwango cha jana cha liver dhidi ya west ham ni uthibitisho kuwa at.madrid watampiga liver na kufuzu robo ya UCL!!
Mkuu weka akiba ya maneno ata Carlo Anchelotti mlikuwa mnapigia mapambio hivi hivi kaja kupigwa na watoto wa Klopp.
 
Sasa jiulize timu inayokuongezea league kwa 20+ points inakuwa "shitty team" sasa timu yako itakuaje "the shittiest team" [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira inatabia ya kudunda na ni tabia mbaya sana. Wengi hapa wanaongea ki ushabiki mara tuliwaondoa Barca mara Anfield hutoki lakini miaka yote Anfield Liverpool wamshindwa kuchukua Epl au Europa sijui ni kwa msimu huu ndo Anfield imewekewa Misumali kwa timu pinzani.
 
Past Decade ya Klopp kachukua major trophies, UCL Supercup na World Cup, huyo kachukua kipi na kipi kumzidi Klopp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unakuwa kama mgeni wa mpira ndugu. Huyo Simeone alimfanyaje Juve hapo kwake? Maana naona kufungwa na Diego hapo kwake ni bonge moja la accomplishment. Alivyomfunga Juve akatapaje kwa vyombo vya habari? Alafu mwishowe matokeo yakawaje hatimaye? ... au kutufunga ndo tayari keshafuzu? Na hayo makombe 6 ya UEFA unayoongelea ni yapi haswa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiwango cha jana cha liver dhidi ya west ham ni uthibitisho kuwa at.madrid watampiga liver na kufuzu robo ya UCL!!
Kwahyo kiwango cha Atletico kwenye game yake ya nyuma kabla ya UEFA mbona hazikuthibitisha kuwa atashinda? Au hujatazama? Unajua mpaka Atletico anaenda kukutana na Liverpool alikuwa na rekodi ya kushinda game ngap kati ya tano alizocheza? Tofauti na Liver ambaye hajapoteza hata game moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiongee usiofahamu..... Shida ya atletico ni majeruhi ilibaki na 12 first team players. Yaani ikabidi Vrsajlko mgonjwa acheze, felix costa na morata hawakuwepo mbele akacheza correa na saponjic ambaye ni reserve.
Saul ilibidi acheze beki ya kushoto. So issue haikua form bali injuries pekee.
 
Second leg aliingia na approach ya kukaba alikosea so hawezi rudia hilo kosa. Huko atatafuta goli la mapema tena au penalty ili aue tie mapema sana
 
6 trophies ni 3 Uefa europa leagues na 3 uefa super cups!!!
Liver mna ngapi ndani ya wakati huo?? Alafu mnamchukulolia simeome poa poa tu
 
Past Decade ya Klopp kachukua major trophies, UCL Supercup na World Cup, huyo kachukua kipi na kipi kumzidi Klopp?

Sent using Jamii Forums mobile app
Major supercups na world cup hazihesabiwi..... Simeone kabeba domestic cup mbili, Ligi kuu na Europa ligi 3

Huyo Klopp liver hajawahi beba Ligi while simeone kabeba mbele ya prime messi na ronaldo!!
 
M
Kwahiyo kabatini hakuna europa hata moja? Kwa taarifa yako liver imechukua makombe yote iliyowahi kushiriki
Mkuu hapa tunaongelea Atletico ya simeone ma ww baki na liverpool ya kipindi chote akiwepo simeone. Leta data mkuu unalodharau Europa ndio mmeshiriki mara kibao na hamna mlichoshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…