Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Takwimu hazidanganyi naomba tufuatane kuona liver imeshiriki mara ngapi hilo kombe unalodharau leo
2009- 10 Europa
2010-11 Europa
11-12 Hamkuingia ulaya
12-13 Europa
13-14 Hamkuingia ulaya
14-15 Europa
15-16 Europa
16-17 Hamkuingia ulaya
17-18 Champions league
18-19 Champions league

Unaweza ona kombe mlioshiriki zaidi ni Europa league sasa matusi kwa Europa mnatoa wapi?? More so hata Europa hamkuweza shinda hata mara moja!!

Shitty team
Kwahiyo kabatini hakuna europa hata moja? Kwa taarifa yako liver imechukua makombe yote iliyowahi kushiriki
 
Hapo unapoleta takwimu ndio unawashika pabaya mno namm nakubaliana nawe kabsa katika last decade dominance kwenye uefa competitions All over lazma zitakuwa team za spain kubwa zote kwenye top 5 bila kupepesa macho
Takwimu hazidanganyi naomba tufuatane kuona liver imeshiriki mara ngapi hilo kombe unalodharau leo
2009- 10 Europa
2010-11 Europa
11-12 Hamkuingia ulaya
12-13 Europa
13-14 Hamkuingia ulaya
14-15 Europa
15-16 Europa
16-17 Hamkuingia ulaya
17-18 Champions league
18-19 Champions league

Unaweza ona kombe mlioshiriki zaidi ni Europa league sasa matusi kwa Europa mnatoa wapi?? More so hata Europa hamkuweza shinda hata mara moja!!

Shitty team

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atletico Madrid tayari ameshaaga mashindano hana ujanja pale Anfield ingawa soka la leo halina historia lkn kumbukeni kilichompata ndugu yao Barcelona wakiwa full squard, Diego Simeone ajiandae kisaikolojia tu pale atapigwa nyingi tena sio chini ya goli nne na kuendelea.
Mkumbuke Napoli kawatafutisha sare hapo honey field

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiwango cha jana cha liver dhidi ya west ham ni uthibitisho kuwa at.madrid watampiga liver na kufuzu robo ya UCL!!
 
kiwango cha jana cha liver dhidi ya west ham ni uthibitisho kuwa at.madrid watampiga liver na kufuzu robo ya UCL!!
Mkuu weka akiba ya maneno ata Carlo Anchelotti mlikuwa mnapigia mapambio hivi hivi kaja kupigwa na watoto wa Klopp.
 
Takwimu hazidanganyi naomba tufuatane kuona liver imeshiriki mara ngapi hilo kombe unalodharau leo
2009- 10 Europa
2010-11 Europa
11-12 Hamkuingia ulaya
12-13 Europa
13-14 Hamkuingia ulaya
14-15 Europa
15-16 Europa
16-17 Hamkuingia ulaya
17-18 Champions league
18-19 Champions league

Unaweza ona kombe mlioshiriki zaidi ni Europa league sasa matusi kwa Europa mnatoa wapi?? More so hata Europa hamkuweza shinda hata mara moja!!

Shitty team
Sasa jiulize timu inayokuongezea league kwa 20+ points inakuwa "shitty team" sasa timu yako itakuaje "the shittiest team" [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira inatabia ya kudunda na ni tabia mbaya sana. Wengi hapa wanaongea ki ushabiki mara tuliwaondoa Barca mara Anfield hutoki lakini miaka yote Anfield Liverpool wamshindwa kuchukua Epl au Europa sijui ni kwa msimu huu ndo Anfield imewekewa Misumali kwa timu pinzani.
 
Hakuna aliyebadili toka mwanzo naongelra simeone na atletico ya last decade ssa wwe unaleta mambo ya historia hizo UEFA wamebeba tokea zinaitwa European cup timu zenyewe hazifiki hata 16!!

Past decade Simeone is better than klopp
Atletico is better than liverpool

Kuhusu Emery yeye hajacheza Champions league na sevilla kwa misimu 8 mfululizo UCL, hajabeba 6 UEFA trophies, domestically hana makombe mengi kuliko simeone. So bado hana form ya kulinganishwa naye.
Past Decade ya Klopp kachukua major trophies, UCL Supercup na World Cup, huyo kachukua kipi na kipi kumzidi Klopp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzungumziwa??? Mbona kashindwa kufurukuta kwa Atletico juzi?? Ubora wa kocha sio kelele za mitandaoni ni takwimu.

Simeone kaibeba atletico kutoka relegation battle mpaka kuwa European powerhouse yenye makombe 6 ya UEFA!!

Klopp ana makombe mangapi ya UEFA katika wakati huo?? Ligi tu imemshinda miaka yote hiyo ndio umlinganishe na simeone aliyebeba kombe mbele ya Messi na Ronaldo
Mzee unakuwa kama mgeni wa mpira ndugu. Huyo Simeone alimfanyaje Juve hapo kwake? Maana naona kufungwa na Diego hapo kwake ni bonge moja la accomplishment. Alivyomfunga Juve akatapaje kwa vyombo vya habari? Alafu mwishowe matokeo yakawaje hatimaye? ... au kutufunga ndo tayari keshafuzu? Na hayo makombe 6 ya UEFA unayoongelea ni yapi haswa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiwango cha jana cha liver dhidi ya west ham ni uthibitisho kuwa at.madrid watampiga liver na kufuzu robo ya UCL!!
Kwahyo kiwango cha Atletico kwenye game yake ya nyuma kabla ya UEFA mbona hazikuthibitisha kuwa atashinda? Au hujatazama? Unajua mpaka Atletico anaenda kukutana na Liverpool alikuwa na rekodi ya kushinda game ngap kati ya tano alizocheza? Tofauti na Liver ambaye hajapoteza hata game moja?

Usiongee usiofahamu..... Shida ya atletico ni majeruhi ilibaki na 12 first team players. Yaani ikabidi Vrsajlko mgonjwa acheze, felix costa na morata hawakuwepo mbele akacheza correa na saponjic ambaye ni reserve.
Saul ilibidi acheze beki ya kushoto. So issue haikua form bali injuries pekee.
 
Mzee unakuwa kama mgeni wa mpira ndugu. Huyo Simeone alimfanyaje Juve hapo kwake? Maana naona kufungwa na Diego hapo kwake ni bonge moja la accomplishment. Alivyomfunga Juve akatapaje kwa vyombo vya habari? Alafu mwishowe matokeo yakawaje hatimaye? ... au kutufunga ndo tayari keshafuzu? Na hayo makombe 6 ya UEFA unayoongelea ni yapi haswa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Second leg aliingia na approach ya kukaba alikosea so hawezi rudia hilo kosa. Huko atatafuta goli la mapema tena au penalty ili aue tie mapema sana
 
Mzee unakuwa kama mgeni wa mpira ndugu. Huyo Simeone alimfanyaje Juve hapo kwake? Maana naona kufungwa na Diego hapo kwake ni bonge moja la accomplishment. Alivyomfunga Juve akatapaje kwa vyombo vya habari? Alafu mwishowe matokeo yakawaje hatimaye? ... au kutufunga ndo tayari keshafuzu? Na hayo makombe 6 ya UEFA unayoongelea ni yapi haswa?

Sent using Jamii Forums mobile app
6 trophies ni 3 Uefa europa leagues na 3 uefa super cups!!!
Liver mna ngapi ndani ya wakati huo?? Alafu mnamchukulolia simeome poa poa tu
 
Past Decade ya Klopp kachukua major trophies, UCL Supercup na World Cup, huyo kachukua kipi na kipi kumzidi Klopp?

Sent using Jamii Forums mobile app
Major supercups na world cup hazihesabiwi..... Simeone kabeba domestic cup mbili, Ligi kuu na Europa ligi 3

Huyo Klopp liver hajawahi beba Ligi while simeone kabeba mbele ya prime messi na ronaldo!!
 
M
Kwahiyo kabatini hakuna europa hata moja? Kwa taarifa yako liver imechukua makombe yote iliyowahi kushiriki
Mkuu hapa tunaongelea Atletico ya simeone ma ww baki na liverpool ya kipindi chote akiwepo simeone. Leta data mkuu unalodharau Europa ndio mmeshiriki mara kibao na hamna mlichoshinda
 
Back
Top Bottom