zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Dhaifu kwa experience na wachezaji.Timu dhaifu unaipimajee mkuu!?
Timu dhaifu inafika fainali!?
Danny rose na trippier ni level ya fainali?? Ila ingekua timu kma Juve au Bayern ndio mngekua na haki ya kuboast.
Atletico alikutana na timu ambayo hta nyie iliwafunga ila ingekua hiko ki totenham aaah tungeshabeba ubingwa asbuhi.
Anyway penalty zilituangusha so sio kma tulizidiwa na real kiasi cha kusakamwa humu