Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Timu dhaifu unaipimajee mkuu!?
Timu dhaifu inafika fainali!?
Dhaifu kwa experience na wachezaji.
Danny rose na trippier ni level ya fainali?? Ila ingekua timu kma Juve au Bayern ndio mngekua na haki ya kuboast.

Atletico alikutana na timu ambayo hta nyie iliwafunga ila ingekua hiko ki totenham aaah tungeshabeba ubingwa asbuhi.

Anyway penalty zilituangusha so sio kma tulizidiwa na real kiasi cha kusakamwa humu
 
Haahaaa Mane wa Tandika hivi hujui Makombe ya UEFA both Europa na UCL mengi zaidi!!
Madrid ikabeba uefa 4 Barca 2 last decade
Huku Europa atletico ana 3 sevilla ana 3 that means spain imedominate Ulaya.

Kwahyo hyo liver kuongoza kwa point 20+ ni upuuzi wa EPL ndio maana alipokutana na wahuni kadhibitiwa mapema.
Karibu anfield 11 march tuone hizo uefa za madrid na barca zitakusaidia vipi kukiepuka kikombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhaifu kwa experience na wachezaji.
Danny rose na trippier ni level ya fainali?? Ila ingekua timu kma Juve au Bayern ndio mngekua na haki ya kuboast.

Atletico alikutana na timu ambayo hta nyie iliwafunga ila ingekua hiko ki totenham aaah tungeshabeba ubingwa asbuhi.

Anyway penalty zilituangusha so sio kma tulizidiwa na real kiasi cha kusakamwa humu
Hata napoli alitufunga tena 2-0 means atletico wapo level moja na napoli tena napoli yupo juu sababu ameweza kufunga 2 kuliko atletico 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Van djik wa buguruni kivipi? I'd yangu inasomeka Pancho boy. Huko kwingne ni kuishiwa hoja..

Ouk lete hizo takwimu zinazoonesha tumeshiriki Europa Mara nyingi kuliko team zingne top six..

Halafu tuangalie mafanikio ya klop na ds yanasemaje? kwanza ds muda wote yupo atletico tu hata jk angefanya hivi angekuwa mbali kuliko ds.. Na mpaka sasa ni kocha Mkubwa...

Yaani atletico eti ni team kubwa inashindwa hata na kina Aston Villa wenye UEFA?. Hahah

Hivi hizo takwimu za FIFA umezitoa wapi? hebu tueleze na sisi tukatafute.. yawezekana ni za mwaka 1995 hahaha

Unaweza kuwa mtu mzima lakini bado haiwezi kuondoa uhalisia kuwa wewe ni mjinga
Shida ww toka uanze huna facts inaonekana lugha inakupiga chenga!!

Simeone kafundisha timu zaidi ya 6 na kabeba hadi ligi kuu mbili na timu mbili tofauti.

Takwimu nmeshaleta hapo juu mmecheza UCL full msimu mara 2 tu ndani ya miaka 10!!! hakuna timu ya EPL top 6 imefanya hivyo sasa unachobisha nini??

Hunw unalofahamu kuhusu mpira UEFA inatumia coefficients kuamua timu bora yani kila mechi za UEFA ukishinda una point, ssa Atletico kacheza UCL misimu 8 mfululizo, Europa 3, Supercup 3,UCL finals 2!! Hayo mafanikio klopp anayo?? Kma hana unachopinga ni nini haswa??

Rudi ukiwa na facts
 
Hata napoli alitufunga tena 2-0 means atletico wapo level moja na napoli tena napoli yupo juu sababu ameweza kufunga 2 kuliko atletico 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Napoli wanashambulia ila Atletico anakaba mwanzo mwisho. Kuna Gimenez na Felipe huko nyuma. Hapo kati ataanza Tomas na Llorente duh sijui mtapita wapi

Anyway tusubiri tuone
 
Van Dijk wa buguruni bhana!! Hapa takwimu tu Liver mmeshiriki Europa kuliko timu yeyote top 6 alafu mkipigwa mnaanza kuliita la mbuzi??

Real Madrid hawezi pimwa kwa Europa sababu hajawahi shiriki so usichanganye mada.

Ni hivi takwimu nmeshakupa, mpaka tunawapiga ile juzi, Atletico ndio ranked #3 best team ulaya hyo liver yenu haipo kokote so jifunze heshima kijana klopp wakuja tu kwa simeone according to UEFA not me
Daaah! Wewe jamaa noma, yaani vikombe unavyojisifia kumbe hata real na barca hawajawahi kushiriki😀😀😀😀 embu chukueni ucl basi ili wanapoitwa wanaume wa ulaya nanyi muitike sio huko uefa ndogo
 
Shida ww toka uanze huna facts inaonekana lugha inakupiga chenga!!

Simeone kafundisha timu zaidi ya 6 na kabeba hadi ligi kuu mbili na timu mbili tofauti.

Takwimu nmeshaleta hapo juu mmecheza UCL full msimu mara 2 tu ndani ya miaka 10!!! hakuna timu ya EPL top 6 imefanya hivyo sasa unachobisha nini??

Hunw unalofahamu kuhusu mpira UEFA inatumia coefficients kuamua timu bora yani kila mechi za UEFA ukishinda una point, ssa Atletico kacheza UCL misimu 8 mfululizo, Europa 3, Supercup 3,UCL finals 2!! Hayo mafanikio klopp anayo?? Kma hana unachopinga ni nini haswa??

Rudi ukiwa na facts
Mi nacheka pale mtu anapojisifia kacheza ucl nyingi halafu kaambulia patupu
 
Haahaaa Mane wa Tandika hivi hujui Makombe ya UEFA both Europa na UCL mengi zaidi!!
Madrid ikabeba uefa 4 Barca 2 last decade
Huku Europa atletico ana 3 sevilla ana 3 that means spain imedominate Ulaya.

Kwahyo hyo liver kuongoza kwa point 20+ ni upuuzi wa EPL ndio maana alipokutana na wahuni kadhibitiwa mapema.
Wahuni wanachukua vikombe vya uchochoroni chukueni ucl tuone uhuni wenu
 
Daaah! Wewe jamaa noma, yaani vikombe unavyojisifia kumbe hata real na barca hawajawahi kushiriki😀😀😀😀 embu chukueni ucl basi ili wanapoitwa wanaume wa ulaya nanyi muitike sio huko uefa ndogo
Hahahahha Yaani umeona liverpool umezidiwa sasa umehamisha mada kuwa Atleti vs Barca na Real?? Tumeshinda makombe 6 ambayo Barca na Madrid wameshiriki last decade yaani 3 UEFA super cups, 1 la liga, 1 kings cup, 1 Supercopa espana

Nyie mna idadi hiyo ya makombe katika wakati huo?? Hapo tumezitoa kabisa Europa!! Naomba ujibu
 
Wahuni wanachukua vikombe vya uchochoroni chukueni ucl tuone uhuni wenu
Pole sana sie hadi tuna la liga last decade nyie mara ya mwisho kubeba ligi mwaka gani?? Spanish cup tunalo nyie FA cup mlibeba last decade??

Nyie mmecheza UCL mara mbili tu sasa kelele kibao utadhani ndio regulars!! Diego simeone kawafundisha adabu na bado anfield apaki basi mpaka akili ziwakae sawa
 
Mi nacheka pale mtu anapojisifia kacheza ucl nyingi halafu kaambulia patupu
We ndio hujitambui, kucheza UCL nyingi ina maana coefficients,rankings na Mapato yanapanda. Kucheza UCL huwa sio kubeba taji ila ina faida lukuki kwa timu hasa kimapato. Hata hujui kuwa CEO wa Atletico kwa status hii ndio amekuwa kiongozi wa vilabu vyote vya Spain, na UEFA ameingia kwenye bodi!!

Simeone kaikuta atletico ina madeni almost € 1 Billion leo hii kayakata madeni yote ya Serikali ya spain iliyodai Atleti, kiufupi 70% ya deni limelipwa sababu kubwa ni kushiriki UCL kila msimu na kukuza wachezaji ili awauze bei kubwa.

Huyo klopp toka amekuja Liverpool ina negative balance kila dirisha la usajili ambayo ina pile madeni tu, ssa haya mambo huwezi elewa kama ni mshabiki wa buguruni faida ya UCL kwenye mapato nyie mnadhani wati wanapigana kwa ajili ya kombe tu!!

Hujiulizi wenger alikia hatimuliwi arsenal kisa nini?? Pamoja na kukosa makombe ila hakua anakosa UCL hilo tu lilimlindia kibarua.
 
Shida ww toka uanze huna facts inaonekana lugha inakupiga chenga!!

Simeone kafundisha timu zaidi ya 6 na kabeba hadi ligi kuu mbili na timu mbili tofauti.

Takwimu nmeshaleta hapo juu mmecheza UCL full msimu mara 2 tu ndani ya miaka 10!!! hakuna timu ya EPL top 6 imefanya hivyo sasa unachobisha nini??

Hunw unalofahamu kuhusu mpira UEFA inatumia coefficients kuamua timu bora yani kila mechi za UEFA ukishinda una point, ssa Atletico kacheza UCL misimu 8 mfululizo, Europa 3, Supercup 3,UCL finals 2!! Hayo mafanikio klopp anayo?? Kma hana unachopinga ni nini haswa??

Rudi ukiwa na facts
Hujui kitu bro kachek takwimu zetu vizuri.

Nakuacha
 
We ndio hujitambui, kucheza UCL nyingi ina maana coefficients,rankings na Mapato yanapanda. Kucheza UCL huwa sio kubeba taji ila ina faida lukuki kwa timu hasa kimapato. Hata hujui kuwa CEO wa Atletico kwa status hii ndio amekuwa kiongozi wa vilabu vyote vya Spain, na UEFA ameingia kwenye bodi!!

Simeone kaikuta atletico ina madeni almost € 1 Billion leo hii kayakata madeni yote ya Serikali ya spain iliyodai Atleti, kiufupi 70% ya deni limelipwa sababu kubwa ni kushiriki UCL kila msimu na kukuza wachezaji ili awauze bei kubwa.

Huyo klopp toka amekuja Liverpool ina negative balance kila dirisha la usajili ambayo ina pile madeni tu, ssa haya mambo huwezi elewa kama ni mshabiki wa buguruni faida ya UCL kwenye mapato nyie mnadhani wati wanapigana kwa ajili ya kombe tu!!

Hujiulizi wenger alikia hatimuliwi arsenal kisa nini?? Pamoja na kukosa makombe ila hakua anakosa UCL hilo tu lilimlindia kibarua.
Itakuwa unavuta bangi sio bure! Sasa mimi madeni yananihusu nini kama mshabiki? Mshabiki anataka makombe sio madeni, iangalie aseno ya kibabu wenga nani alikuwa anaidai? Lakini mashabiki walishinikiza aondoke na aliondoka
 
Pole sana sie hadi tuna la liga last decade nyie mara ya mwisho kubeba ligi mwaka gani?? Spanish cup tunalo nyie FA cup mlibeba last decade??

Nyie mmecheza UCL mara mbili tu sasa kelele kibao utadhani ndio regulars!! Diego simeone kawafundisha adabu na bado anfield apaki basi mpaka akili ziwakae sawa
Kwanini unaongea nusunusu? Nyie mmecheza ucl mara kumi zero cup, sisi mara mbili na one cup, kumbuka epl is around the corner, 4games to go
 
Ewaaaa
FB_IMG_15830069895278511.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom