The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Watford anakupa salam mkuu.Mzee weka akiba ya maneno. Marudiano nadhani March 2020 sio mbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watford anakupa salam mkuu.Mzee weka akiba ya maneno. Marudiano nadhani March 2020 sio mbali.
Naona huelewi unaongea nini!!! Mimi naongelea UCL na wewe unaleta upupu wa EPL,uwe unasoma na kuelewa kwanza,ujinga utakuua.Ukitoa hizo points unazosema amepewa na VAR, bado anaongoza league tena kwa mbali sana. Timu yako ishikane na nyingne ndo mfikie hizo points. Chuki itakuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kile kipigo nilikiona mkuu.Watford anakupa salam mkuu.
Ujinga utaanza kukuua wewe mwenye kichwa NONGWA. Umesea Liverpool walidhani watabebwa na VAR kama EPL - sasa hiko ni nini? - ndo nikakwambia kuhusu hilo la VAR, toa hizo points unazosemwa kabebwa nazo ubakize zako uone kama bado haongozi league. Haya na msimu jana walibeba UEFA, vipi ni VAR iliwapa? Chuki zitakuuaNaona huelewi unaongea nini!!! Mimi naongelea UCL na wewe unaleta upupu wa EPL,uwe unasoma na kuelewa kwanza,ujinga utakuua.
Unaonekana ulimsumbua sana mwalimu wako darasani,Ujinga utaanza kukuua wewe mwenye kichwa NONGWA. Umesea Liverpool walidhani watabebwa na VAR kama EPL - sasa hiko ni nini? - ndo nikakwambia kuhusu hilo la VAR, toa hizo points unazosemwa kabebwa nazo ubakize zako uone kama bado haongozi league. Haya na msimu jana walibeba UEFA, vipi ni VAR iliwapa? Chuki zitakuua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimaliza niitie na anayeongoza hiyo league aliyomo watford kwa zaidi ya points 20+Unaonekana ulimsumbua sana mwalimu wako darasani,
Ngoja nikuitie Watford wakufahamishe huenda ukaelewa.
We mbwiga una ropoka... unahisi hyo game ya atletco ndio hatukupata shot on target pekee!Timu gani inasuasua?? Mie ni Team Atletico mwaka wa 13 sasa sio kila mtu ni EPL fanboy. Liwe liwalo halibadili ukweli kuwa ssi ndio team pekee iliyowabana hadi mkatoka bila shot on target!! Na kuwafunga ilihali mko unbeaten kwa muda mrefu.
Kwa hilo tu you need to show some respect kid
Unachopaswa kufahamu liver anaenda kupita
We mbwiga una ropoka... unahisi hyo game ya atletco ndio hatukupata shot on target pekee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachopaswa kufahamu liver anaenda kupita
Dada punguza munkari hiyo mimba sijakupa mimiSiku nyingine usiwe mpumbavu
Siku nyingine jua huu ni mchezo wa soka anything happen
Next time usiwe zwazwa fala wewe
Unabisha mpaka mishipa ya shingo inakusimama bwege wewe
Next jifunze kubalance mambo
Usiwe shabiki mandazi fala wewe
Tulikustahi na ukweli ni kwamba liverpool ni timu avarage sema uingereza timu karibu zote ni mbovu sana wakati huu
Chukua timu za miaka kama sita ilitopita halafu linganisha na zilizopo sasa
PUMBAVU.
Mzee wa takwimu?? Unaonaje tokeoHujui kitu bro kachek takwimu zetu vizuri.
Nakuacha