Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Watford anakupa salam mkuu.
Kile kipigo nilikiona mkuu.
Well deserved, well beaten but this will not deter Liverpool FC from winning league cup and probably FA, and UCL to complete a treble in 2020, or unprecedented quintuple (UCL, UEFA Super Cup, FIFA Club World Cup, EPL Cup, FA Cup) in 2019/2020.
 
Naona huelewi unaongea nini!!! Mimi naongelea UCL na wewe unaleta upupu wa EPL,uwe unasoma na kuelewa kwanza,ujinga utakuua.
Ujinga utaanza kukuua wewe mwenye kichwa NONGWA. Umesea Liverpool walidhani watabebwa na VAR kama EPL - sasa hiko ni nini? - ndo nikakwambia kuhusu hilo la VAR, toa hizo points unazosemwa kabebwa nazo ubakize zako uone kama bado haongozi league. Haya na msimu jana walibeba UEFA, vipi ni VAR iliwapa? Chuki zitakuua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana ulimsumbua sana mwalimu wako darasani,
Ngoja nikuitie Watford wakufahamishe huenda ukaelewa.
 
Timu gani inasuasua?? Mie ni Team Atletico mwaka wa 13 sasa sio kila mtu ni EPL fanboy. Liwe liwalo halibadili ukweli kuwa ssi ndio team pekee iliyowabana hadi mkatoka bila shot on target!! Na kuwafunga ilihali mko unbeaten kwa muda mrefu.

Kwa hilo tu you need to show some respect kid
We mbwiga una ropoka... unahisi hyo game ya atletco ndio hatukupata shot on target pekee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liva kuku
IMG_20200219_153559.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachopaswa kufahamu liver anaenda kupita

Siku nyingine usiwe mpumbavu

Siku nyingine jua huu ni mchezo wa soka anything happen

Next time usiwe zwazwa fala wewe

Unabisha mpaka mishipa ya shingo inakusimama bwege wewe

Next jifunze kubalance mambo

Usiwe shabiki mandazi fala wewe

Tulikustahi na ukweli ni kwamba liverpool ni timu avarage sema uingereza timu karibu zote ni mbovu sana wakati huu

Chukua timu za miaka kama sita ilitopita halafu linganisha na zilizopo sasa

PUMBAVU.
 
Dada punguza munkari hiyo mimba sijakupa mimi
 
Back
Top Bottom