Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Ana mtu tayari huyoWw fanya uthubutu na sio kujaribu kwani we siuna mpenda

Chaguo lipo kwako unaweza fanya Ivo na usimwambie au kama umezaa nae mwatoto andika Mali za familiaAna mtu tayari huyo
Ngoja tuoneChaguo lipo kwako unaweza fanya Ivo na usimwambie au kama umezaa nae mwatoto andika Mali za familia
Amua ww tuNgoja tuone
Apo ni uamue wwNgoja tuone
Ye anasemajeAmua ww tu
Apo ni uamue ww
Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
Nenda TANZlii kasome kesi za matrimonial alafu uje kusoma ulichoandika tenaNdugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
Kipi kisichokuwa na muongozo mkuu
Nani uyoYe anasemaje
Mmmh kwa nini aseme itakuwa mwisho wa mahisiano.. Angeacha tu uamue wewe kumuandika au kutomuandikaNdugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
Ni mpuuzi mbwa mmoja tu nimeshapiga chiniMmmh kwa nini aseme itakuwa mwisho wa mahisiano.. Angeacha tu uamue wewe kumuandika au kutomuandika
Au sioView attachment 3305422mjomba andika kabisa wosia tu some msibani!
Asante ila ilikuwa chai tu maana sikuwa na cha kuleta jukwaani so nikaamua kupika storySio sahihi mzee tena usithubutu kabisa unataka kuingia kwenye kitanzi huyo ni Shetani