Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Utakuwa una Mali, ingekuwa unazo na umeeafuea kwa jasho lako usingeuliza hili swali
Kaka suala la huyu jamaa kuwa na mali linawezekana ni kweli ila zitakuwa ni zile mali ambazo amezipata kwa njia za rushwa na ufisadi, si unajua tena hii awamu kuna vilaza wengi sana wako kwenye system ya kulamba asali.

So yawezekana huyu kilaza nae ni mmoja wa hao mafisadi yaliyopo kwenye system yanayovuta hela kirahisi tu kwa kufoji na kuongeza sifuri ndio maana hana uchungu na hizo mali mpaka mwanamke anamuendesha hivi.

Kwa mwanaume aliyetafuta mali zake kihalali kwa jasho na damu asingekuwa hata na muda wa kujiuliza mara mbili, angekuwa ameshampiga chini siku nyingi sana huyo malaya tapeli.
 
Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!

Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.

Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).

Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.

Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?

Nahitaji ushauri wenu wa busara.

Asanteni!!!
Taarifa ulizotoa hazitoshi.
1. Je una mke?
2. Je una watoto?
3. Je huyo unaye muita mpenzi wako mna mpango wa kufungua ndoa? Je mmezaa naye?

Majibu ya hayo maswali yangewezesha kukupatia ushauri mzuri zaidi.

Ushauri wangu ni kwamba usibadilishe umiliki wa chochote ulicho nacho. Ila unaweza kumnunulia vitu vyake kama una mpenda kihivyo. Mnunulie kiwanja mpe, mnunuloe gari mpe, mjengeee nyumba yake. Fanya hivi kwa mipango mdogo mdogo wakati na wewe unaendelea na mipango yako.

Kwa mfano katika fedha za uwekezaji unazozipata unaweza kutenge yeye 30% wewe 70%. So una mshirikisha kwenye hiyo 30% as if ndo pesa yote uliyo nayo. Mnaipangia matumizi pamoja.. Kamani kuidunduliza ili mnunue kiwanja au mjenge msingi. Taratibu bila presha
 
Mkuu kwa nilivyoshauriwa huyu si wa kumnunulia kitu chochote ni wa kumuacha tu
 
Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!

Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.

Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).

Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.

Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?

Nahitaji ushauri wenu wa busara.

Asanteni!!!
Hao watu wa karibu hawampendi mchumba wako, wanakuonea wivu tu wanataka umuudhi akuache.

Mwandikishe na umbembeleze umtajie na majina ya watu wako wa karibu waliokuwa wanakwambia usimwandikishe. Atakupenda mno mpuuzi wewe.
Pambaf kabisa
 
Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!

Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.

Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).

Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.

Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?

Nahitaji ushauri wenu wa busara.

Asanteni!!!
MWANDIKISHE MKUU, UTAKUJA KUNISHUKURU
 
Back
Top Bottom