Litro
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 1,137
- 2,383
siendelei mzee wangu nipo vilevileMarhaba binti yangu umepotea sana unaendeleaje lkn?
siendelei mzee wangu nipo vilevileMarhaba binti yangu umepotea sana unaendeleaje lkn?
Nilijenga nyumba , alipoanza oohh sio jina langu , nilimuacha mchana kweupe, , mtu mwenye tamaa ya Mali huyo sio wako muache aende zake,
We ulisikia wapi??Wakuu, naomba ushauri wa dhati. Je, ni busara kumwandikisha mpenzi mali zangu ili tu kulinda uhusiano? Nampenda sana, lakini naogopa kuumizwa. Nifanyeje?
Yes na kwa UHAKIKA tayari ana mtu mwingine anayemsikiliza zaidi kuliko wewe , tamaa hiyo sio bahati mbaya ana makusudi kabisa na anataka ahakikishe unabaki bila kitu , achana ane mapema ili ulinde amani na Mali zako
Ukweli mchungu Sana huu ,Wanaume ambao bado wanaendeshwa na hisia badala ya akili hawatakuelewa.
Mwanamke ni kiumbe HATARI SANA!!!Maslahi yake yasipotimia huwa hana kujifikiria mara mbili tatu,ataanza kutafuta vijisababu akuchukie na kukushusha thamani.
Kama mwanaume hana COUNTER DEFENSIVE MECHANISM,ASALALEEE HUYU NDIO KWISHA HABARI YAKE!!!!
Wakuu, naomba ushauri wa dhati. Je, ni busara kumwandikisha mpenzi mali zangu ili tu kulinda uhusiano? Nampenda sana, lakini naogopa kuumizwa. Nifanyeje?
Nakubaliana na wewe ingawa mimi siwezi kukataa ndoa lazima nioeKUISHI NAO KWA AKILI MAANA YAKE
"KUTUMIA UKIMYA KAMA SILAHA NA KUPUNGUZA MAZINGATIO/ATTENTION"
MWANAUME UKITAKA HAWA VIUMBE UWAWEKE KWENYE NYAO ZAKO ISHI NA HIYO FALSAFA.WACHUKULIE KAMA VYOMBO VYA STAREHE USIWAPE UZITO WALA UMUHIMU.
JIAPIZE KUWA HATA BILA WANAWAKE MAISHA YAKO NI BOMBA.KAMA MWANAMKE HATAKI KUISHI KWA MITAZAMO NA MAELEKEZO YAKO HAKUNA HAJA YA KUJIFIKIRIA MARA MBILI,KWAKUA HATA YEYE AKIPATA OPTION BORA ZAIDI HATAKUFIKIRIA MARA MBILI HATA KAMA ULIWAHI KUMCHANGIA FIGO🤝🤝🤝
📌📌📌UKITAKA WANAWAKE WAKUDHARAU AU WAKUDHALILISHE MPAKA UTAMANI KUJIKATA UCHI WAKO KWA KUYACHUKIA MAPENZI,ISHI KINYUME NA HIYO FALSAFA.ISHI KWA KUWATUKUZA NA KUWAABUDU.
###KATAA NDOA,KATAA UFALA!!!!
NdioUna nyumba tatu?
Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
Nimeuzingatia ushauri wako mkuuNimekushauri na najua huwezi kushaurika ila ikitokea akili ikashtuka na ukaelewa hakuna MAPENZI HAPO fata ushauri🤝
Wewe huyo mwanamke humpendi.Akili yako inakudanganya na unajidanganya kwa kuita huo upendo.Wewe una UPWEKE,upweke ambao unakuoelekea umfanye huyo malaya kuwa kama sehemu yako ya kupata faraja na hiyo imekujengea ulemavu wa kuona kuwa bila huyo mwanamke huwezi kuwa na furaha wala kukamilika.
Huyo malaya unamuona soecial ni kwasababu umeridhika( umeangukia katika COMFORTZONE) kwa kujua au kutokujua.Hali hiyo ni kama urahibu wa madaya kulevya kupona inahitaji nguvu ya ziada.
Jikeep busy kadri uwezavyo ITAKUSAIDIA!!!.TAFUTA HOBBIES NYINGINE NA VITU VINGINE VYA KUKUHAMISHIA CENTER OF ATTENTION.PUNGUZA KUSPEND TIME NA HUYO MALAYA.
Anza kutongoza na kuweka mikakatika ya kuwa unatongoza mara kwa mara angalau mara mbili kwa wiki.NI KOSA LA KIUFUNDI MWANAUME KUACHA KUTONGOZA NA KUWA NA MWANAMKE MMOJA,IF YOU KNOW YOU KNOW.
Ukweli mchungu Sana huu ,
Nakubaliana na wewe ingawa mimi siwezi kukataa ndoa lazima nioe
Kataa kutishwa kama mwanaume. Leo kakwambia hiki kesho atakutisha na kingine. Kesho atakwambia chagua kati yangu au mama yako... MWambie achape miguu kama anataka kusepa. Angekushawishi kwa njia nyingine si kukutisha na kukublackmail eti atakuacha.Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
Ukweli kabisa huu ndio maana hutakiwi kujiweka wazi kwa kiumbe mwanamke , wala kutoa kila kitu chako kwake mpe ziada Tu , akiba Bora jitunzie wewe mwenyeweTUWASAIDIE HAWA WENZETU WASIO NA EXPERIENCE WAJITAMBUE NA WATAMBUE WAO NI DHAHABU.THAMANI YAO NI KUBWA SANA.
📌📌📌MWANAUME UKITAMBUA THAMANI YAKO RINGA,HAWA MALAYA TUMEUMBIWA KUWATUMIA SIO KUWANYENYEKEA.
MWANAMKE HATA KAMA UNAMPENDA VIPI ILA KILA SIKU TEMBEA NA AKILI MOJA KICHWANI KUWA YUPO NA WEWE KWA KUWA KWA MUDA HUO WEWE NI BORA KULIKO WANAUME ALIOKUTANA NAO KWA MUDA HUO,ILA IKIFIKA MUDA AKATOKEA MWANAUME BORA ZAIDI YAKO TAMBUA HUYO MALAYA WAKO UNAYEMPENDA ATAKUACHA BILA KUJIFIKIRIA MARA MBILI.HII NI ASILI SIO MANENO YANGU.
KUJINYIMA KWAKO,KUJITOA,KUMSAIDIA KWAKO NI SAWA NA BURE.MUDA WA KUKUACHA UKIFIKA MWANAMKE HUWA HANA HURUMA WALA FADHILA KWA KUKUMBUKA MEMA ULIYOMTENDEA.ATAKUHUKUMU KWA MABAYA YAKO HATA KAMA NI MOJA.
📌📌📌HIVYO KAMA MWANAUME NI HASARA SANA KUJIWEKEZA KIHISIA AU KIHALI AU KIMALI KWA MWANAMKE.WALE WOTE WANAOCHOMA WENZA WOA KWA MAGUNIA YA MKAA,AU KUWAFYATUA UBONGO WALIPUUZIA UKWELI MCHUNGU WAKAHISI WAO WANAWEZA KUWABADILISHA WANAWAKE KUTOKA KWENYE ASILI YAO.KAA KIMASTER HUNA MAAJABU YOYOTE ITS JUST YOUR TURN TO SPEND TIME NA HUYO MALAYA.SOON OR LATER IT WILL BE ANOTHER MAN'S TIME!!!!
📌📌📌SO FELLOW MEN SPEND WISELY YOUR TIME AND MONEY.THESE BITCHES AINT LOYAL!!!
KAMA MWANAUME TAMBUA PIA WANAWAKE SIKU ZOTE WANAMACHAGUO NA MBADALA WAKO UPO TAYARI MUDA WOWOTE UNAKAA SEHEMU YAKO,HIVYO KAA MGUA NDANI MGUU NJE JIANDAE MUDA WOWOTE UTANYANG'ANYWA HIYO HIMAYA YAKO.
📌📌📌MWANAUME TAMBUA KUWA HAKUNA NAMNA WALA HALI YOYOTE UNAWEZA KUMRIDHISHA MWANAMKE.KWAHIYO KULIKO KUPOTEZA MUDA NA NGUVU NI MARA MIA HUO MUDA NA NGUVU UKAJIWEKEZEA MWENYEWE KATIKA KUJIFUA KUWA BORA ZAIDI NA ZAIDI.
KWAHIYO BADALA YA KUJIKITA KUWARIDHISHA HAWA MALAYA NI BORA KILA SIKU UJIFUE UWE BORA KWA KUJIWEKEZA KATIKA AFYA YAKO,KUTAFUTA MALI,NA KUSIMAMIA MISINGI NA HESHIMA YAKO.MWANAUME LAZIMA UWE NA STANDARDS UKIKOSA STANDARDS UNAKUWA UMEUZA THAMANI YAKO.
WANASEMA MWENYE KISU KIKALI NDIO MLA NYAMA.TEMBEA NA FALSAFA HIYO KWA KUWEKEZA MUDA WAKO ZAIDI KATIKA KUTAFUTA MAFANIKIO NA WANAWAKE WATAKUFUKUZIA WAO.
📌📌📌THE GAME IS BRUTAL,BUT STILL FAIR!!!
##WANAUME TUAMKE,BILA KUAMKA HATUTOBOI.
Jamii forum haikui kwasababu ya MODS KUJIHISI MIUNGU WATU😂😂😂TUWASAIDIE HAWA WENZETU WASIO NA EXPERIENCE WAJITAMBUE NA WATAMBUE WAO NI DHAHABU.THAMANI YAO NI KUBWA SANA.
📌📌📌MWANAUME UKITAMBUA THAMANI YAKO RINGA,HAWA MALAYA TUMEUMBIWA KUWATUMIA SIO KUWANYENYEKEA.
MWANAMKE HATA KAMA UNAMPENDA VIPI ILA KILA SIKU TEMBEA NA AKILI MOJA KICHWANI KUWA YUPO NA WEWE KWA KUWA KWA MUDA HUO WEWE NI BORA KULIKO WANAUME ALIOKUTANA NAO KWA MUDA HUO,ILA IKIFIKA MUDA AKATOKEA MWANAUME BORA ZAIDI YAKO TAMBUA HUYO MALAYA WAKO UNAYEMPENDA ATAKUACHA BILA KUJIFIKIRIA MARA MBILI.HII NI ASILI SIO MANENO YANGU.
KUJINYIMA KWAKO,KUJITOA,KUMSAIDIA KWAKO NI SAWA NA BURE.MUDA WA KUKUACHA UKIFIKA MWANAMKE HUWA HANA HURUMA WALA FADHILA KWA KUKUMBUKA MEMA ULIYOMTENDEA.ATAKUHUKUMU KWA MABAYA YAKO HATA KAMA NI MOJA.
📌📌📌HIVYO KAMA MWANAUME NI HASARA SANA KUJIWEKEZA KIHISIA AU KIHALI AU KIMALI KWA MWANAMKE.WALE WOTE WANAOCHOMA WENZA WOA KWA MAGUNIA YA MKAA,AU KUWAFYATUA UBONGO WALIPUUZIA UKWELI MCHUNGU WAKAHISI WAO WANAWEZA KUWABADILISHA WANAWAKE KUTOKA KWENYE ASILI YAO.KAA KIMASTER HUNA MAAJABU YOYOTE ITS JUST YOUR TURN TO SPEND TIME NA HUYO MALAYA.SOON OR LATER IT WILL BE ANOTHER MAN'S TIME!!!!
📌📌📌SO FELLOW MEN SPEND WISELY YOUR TIME AND MONEY.THESE BITCHES AINT LOYAL!!!
KAMA MWANAUME TAMBUA PIA WANAWAKE SIKU ZOTE WANAMACHAGUO NA MBADALA WAKO UPO TAYARI MUDA WOWOTE UNAKAA SEHEMU YAKO,HIVYO KAA MGUU NDANI MGUU NJE JIANDAE MUDA WOWOTE UTANYANG'ANYWA HIYO HIMAYA YAKO.
📌📌📌MWANAUME TAMBUA KUWA HAKUNA NAMNA WALA HALI YOYOTE UNAWEZA KUMRIDHISHA MWANAMKE.KWAHIYO KULIKO KUPOTEZA MUDA NA NGUVU NI MARA MIA HUO MUDA NA NGUVU UKAJIWEKEZEA MWENYEWE KATIKA KUJIFUA KUWA BORA ZAIDI NA ZAIDI.
KWAHIYO BADALA YA KUJIKITA KUWARIDHISHA HAWA MALAYA NI BORA KILA SIKU UJIFUE UWE BORA KWA KUJIWEKEZA KATIKA AFYA YAKO,KUTAFUTA MALI,NA KUSIMAMIA MISINGI NA HESHIMA YAKO.MWANAUME LAZIMA UWE NA STANDARDS UKIKOSA STANDARDS UNAKUWA UMEUZA THAMANI YAKO.
WANASEMA MWENYE KISU KIKALI NDIO MLA NYAMA.TEMBEA NA FALSAFA HIYO KWA KUWEKEZA MUDA WAKO ZAIDI KATIKA KUTAFUTA MAFANIKIO NA WANAWAKE WATAKUFUKUZIA WAO.
📌📌📌THE GAME IS BRUTAL,BUT STILL FAIR!!!
##WANAUME TUAMKE,BILA KUAMKA HATUTOBOI.
Hapa nikimpenda atasema nimeona mali zake😹😹😹Na nyumba 3 za kisasa
Maelezo yake yanaonyesha kipaumbele chake, ambacho sio wewe, bali mali zako. Uhitaji ushauri zaidi.anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.