Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!

Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.

Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).

Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.

Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?

Nahitaji ushauri wenu wa busara.

Asanteni!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
ukishamwandikisha mpenzi wako hizo mali zako,....sasa USISAHAHU kuniungisha MAPANGA yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee sana ndugu yangu,..,. thanks in advance 🙏🙏🙏
 
Humtakii mema Mtoa mada
Umemuitia wapiga spana watupu😀
Naona kama hii story ya mtoa mada ni chai, kama sio chai, mtaani kwenye soko la dating hali mbaya, wadada wengi sahivi wako kimaslahi wanaangalia hela tu, mwanaume ukiingia kwenye dating market ukiwa na mrengo wa kupata genuine love/ desire unaeza fika miaka 70 bila mke 😁, labda umshirikishe Mungu DeepPond
 
Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!

Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.

Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).

Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.

Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?

Nahitaji ushauri wenu wa busara.

Asanteni!!!

Katika hali ya kawaida huwa ngumu sana ku.shauri mtu aliyepo stage kama yako ya MAPENZI BILA TAHADHARI kwa kiumbe mwanamke!!!

Kumpenda mwanamke ni jambo baya sana.Hili hutalijua mpaka yakufike.Na hata hapa tutakushauri ila 98% ya ushauri hutaufanyia kazi.

Mwanaume akipenda huwa na maana zifuatazo;
1.Kujisahau na kupuuzia asili.Kuwa katika comfortzone(kuridhika).Hapa huwezi elewa mpaka huyo malaya akupige na kitu kizito ndio akili itazibuka.

2.Kukosa OPTION/MWANAMKE AU WANAWAKE WA ZIADA.Udomo zege hapa ndio kipengele.Kujifanya kuwa focused sana na kutafuta maisha na kuacha kuishi hupelekea mwanaume kuanza kuwa BUTU kwenye maswala ya mitongozo.

Ushauri wa bure;Kuliko kumuandikisha huyo malaya kwenye hizo mali bora uziuze alafu pesa nenda katoe msaada kwa wahitaji.

Huyo mwanamke stage alipofika anataka AKUDESTROY stuka huo ni mtego.Hakuna kitu utampa ataridhika.Muache bila taarifa wala maelezo.Tafuta wanawake wengine wawili au watatu wakukeep busy umsahau huyo IBILISI.

📌📌📌📌📌UKIPUUZIA HUU USHAURI UTAKUJA KULIA VIBAYA SANA.AMKA ACHA UFALA.UNAWINDWA UBAMIZWE BOYA WEWE!!!!
 
Mwanamke akishaanza kukupa masharti flaniflani ili awe nawe.STUKA HUO NI MTEGO.Huyo malaya ameshakuacha kimwili yupo anatafuta sababu za kiakili ili apate uhalali wa kukuacha vizuri.

Masharti anayokuwekea maana yake hakupendi tena wala hakueshimu.Usiwe zoba amka kafanye mambo mengine hapo hakuna mapenzi tena,anakutumia ili akikuacha ajifariji atleast amekuacha huku yeye ameondoka na faida kadha wakadhaa!!!

Mwanamke akifika hiyo stage kadri unavyozidi kumtii masharti yake,kadri unavyozidi kumbembeleza na kujielezea ili asikuache tambua ndio KADRI UNAVYOZIDI KUMPOTEZA.

📌📌📌KUISHI NAO KWA AKILI NDIO KUNAANZIA HAPA SASA!!!!

UKIFIKA HII STAGE.⛔⛔⛔NI MARUFUKU NA NI KOSA LA KIUFUNDI KUENDELEA KUWASILIANA NAYE.CHAKUFANYA UNATAKIWA KUPUNGUZA MAWASILIANO NAYE( PUNGUZA ATTENTION KWAKE),MARUFUKU KUMBEMBELEZA,MARUFUKU KUJIELEZEA,MARUFUKU KUANZA KUMFUKUZIA ( KUCHASE),NA NIMARUFUKU KUTAMKA UMEMUACHA UNATAKIWA WEWE TU NA UBONGO WAKO NDIO MJUE UMEMUACHA KWA KIFUPI JIFANYE MJINGA.

KAMA HUNA WANAWAKE WENGINE HUU NDIO MUDA WA KUANZA KUWATAFUTA NA KUWAWEKA KARIBU.HII ITAKUSAIDIA MAMBO YAKIWA MAGUMU ZAIDI "KUMOVE ON" IWE RAHISI KWAKO.

📌📌📌UKIFANIKIWA HAPA UTAWEZA KUMDISCIPLINE HUYO MALAYA NA ATAKAA KWENYE MSTARI.

BONUS POINT;NI MARUFUKU MWANAUME KUJIBISHANA NA MWANAMKE, MAANA YA KUBISHANA NAE YEYE ANATAFSIRI WEWE UNAMPENDA NA HAUKO RADHI KUMUACHA.HII ATAITUMIA KAMA FIMBO KILA MARA ATAZUA DRAMA ILI AKUTIKISE KWELIKWELI.

NJIA BORA YA KUDILI NA DRAMA NI KUWA KIMYA NA KUTOONYESHA KUCHUKIZWA.KWA LUGHA RAHISI MPUUZIE/ MCHUKULIE PUNGUANI ASIYE NA AKILI NA JIKITE KATIKA MAMBO MENGINE.
 
Katika hali ya kawaida huwa ngumu sana ku.shauri mtu aliyepo stage kama yako ya MAPENZI BILA TAHADHARI kwa kiumbe mwanamke!!!

Kumpenda mwanamke ni jambo baya sana.Hili hutalijua mpaka yakufike.Na hata hapa tutakushauri ila 98% ya ushauri hutaufanyia kazi.

Mwanaume akipenda huwa na maana zifuatazo;
1.Kujisahau na kupuuzia asili.Kuwa katika comfortzone(kuridhika).Hapa huwezi elewa mpaka huyo malaya akupige na kitu kizito ndio akili itazibuka.

2.Kukosa OPTION/MWANAMKE AU WANAWAKE WA ZIADA.Udomo zege hapa ndio kipengele.Kujifanya kuwa focused sana na kutafuta maisha na kuacha kuishi hupelekea mwanaume kuanza kuwa BUTU kwenye maswala ya mitongozo.

Ushauri wa bure;Kuliko kumuandikisha huyo malaya kwenye hizo mali bora uziuze alafu pesa nenda katoe msaada kwa wahitaji.

Huyo mwanamke stage alipofika anataka AKUDESTROY stuka huo ni mtego.Hakuna kitu utampa ataridhika.Muache bila taarifa wala maelezo.Tafuta wanawake wengine wawili au watatu wakukeep busy umsahau huyo IBILISI.

📌📌📌📌📌UKIPUUZIA HUU USHAURI UTAKUJA KULIA VIBAYA SANA.AMKA ACHA UFALA.UNAWINDWA UBAMIZWE BOYA WEWE!!!!
Asante mkuu
 
Mwanamke akishaanza kukupa masharti flaniflani ili awe nawe.STUKA HUO NI MTEGO.Huyo malaya ameshakuacha kimwili yupo anatafuta sababu za kiakili ili apate uhalali wa kukuacha vizuri.

Masharti anayokuwekea maana yake hakuoendi tena wala hakueshimu.Usiwe zoba amka kafanye mambo mengine hapo hakuna maprnzi tena!!!

Mwanamke akifika hiyo stage kadri unavyozidi kumtii masharti yake,kadri unavyozidi kumbembeleza na kujielezea ili asikuache tambua ndio KADRI UNAVYOZIDI KUMPOTEZA.

📌📌📌KUISHI NAO KWA AKILI NDIO KUNAANZIA HAPA SASA!!!!

UKIFIKA HII STAGE.NI MARUFUKU NA NI KOSA LA KIUFUNDI KUENDELEA KUWASILIANA NAYE.CHAKUFANYA UNATAKIWA KUPUNGUZA MAWASILIANO NAYE( PUNGUZA ATTENTION KWAKE),MARUFUKU KUMBEMBELEZA,MARUFUKU KUJIELEZEA,MARUFUKU KUANZA KUMFUKUZIA ( KUCHASE),NA NIMARUFUKU KUTAMKA UMEMUACHA UNATAKIWA WEWE TU NA UBONGO WAKO NDIO MJUE UMEMUACHA KWA KIFUPI JIFANYE MJINGA.

KAMA HUNA WANAWAKE WENGINE HUU NDIO MUDA WA KUANZA KUWATAFUTA NA KUWAWEKA KARIBU.HII ITAKUSAIDIA MAMBO YAKIWA MAGUMU ZAIDI "KUMOVE ON" IWE RAHISI KWAKO.

📌📌📌UKIFANIKIWA HAPA UTAWEZA KUMDISCIPLINE HUYO MALAYA NA ATAKAA KWENYE MSTARI.
Sawa nitafanya hivyo
 
KUISHI NAO KWA AKILI MAANA YAKE

"KUTUMIA UKIMYA KAMA SILAHA NA KUPUNGUZA MAZINGATIO/ATTENTION"

MWANAUME UKITAKA HAWA VIUMBE UWAWEKE KWENYE NYAO ZAKO ISHI NA HIYO FALSAFA.WACHUKULIE KAMA VYOMBO VYA STAREHE USIWAPE UZITO WALA UMUHIMU.

JIAPIZE KUWA HATA BILA WANAWAKE MAISHA YAKO NI BOMBA.KAMA MWANAMKE HATAKI KUISHI KWA MITAZAMO NA MAELEKEZO YAKO HAKUNA HAJA YA KUJIFIKIRIA MARA MBILI,KWAKUA HATA YEYE AKIPATA OPTION BORA ZAIDI HATAKUFIKIRIA MARA MBILI HATA KAMA ULIWAHI KUMCHANGIA FIGO🤝🤝🤝

📌📌📌UKITAKA WANAWAKE WAKUDHARAU AU WAKUDHALILISHE MPAKA UTAMANI KUJIKATA UCHI WAKO KWA KUYACHUKIA MAPENZI,ISHI KINYUME NA HIYO FALSAFA.ISHI KWA KUWATUKUZA NA KUWAABUDU.

###KATAA NDOA,KATAA UFALA!!!!
 
Sawa nitafanya hivyo
Ni stage ngumu amini kwamba🤝🤝🤝 UKOMAVU WA KIHISIA NA IMANI KATIKA HUU MTAZAMO NI JAMBO LA MSINGI SANA.

🚨🚨Kufanikiwa hapo ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!!!

📌📌Ila ukijitahidi na ukawa umedhamiria ni sawa na kumsukuma mlevi🙏

###KATAA MAHUSIANO YASIYO NA AFYA,KATAA UZOBA(USIMP)!!!
 
Back
Top Bottom