Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!

Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.

Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).

Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.

Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?

Nahitaji ushauri wenu wa busara.

Asanteni!!!
Acha uzoba wewe muandikishe haraka sana na hayo ndio mapenzi ya kweli.

Ukichelewa wenzio watamchukua na utabaki kulia tu.

Fanya nlivyokuelekeza sawa dogo?
 
Hii hapa hawapendi nimeshuhudia mara kibao wanataka umalize haaraka
kumbe hujawaelewa wanawake, kuanzia leo ufuatilie hili

Chochote kwenye kungonoka atakachokuambia hataki ndio anakitaka, na atakachokuambia anataka ndio hataki

Akikuambia upunguze kasi wewe ongeza na akikuambia ongeza wewe ongeza mara mbili

Ukiwa chumbani fanya umalaya kama wote hakuna kumdekeza
 
Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!

Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.

Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).

Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.

Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?

Nahitaji ushauri wenu wa busara.

Asanteni!!!
Mbinu unazotumia ni za kitoto sisi tulitumia miaka ya 2000s wewe unakuja tumia leo. Nenda kafute viatu vya shemeji yako na kufua nguo za dada yako. Kisha uangalie movies za kibongo ukikuna mapumbuh
 
kumbe hujawaelewa wanawake, kuanzia leo ufuatilie hili

Chochote kwenye kungonoka atakachokuambia hataki ndio anakitaka, na atakachokuambia anataka ndio hataki

Akikuambia upunguze kasi wewe ongeza na akikuambia ongeza wewe ongeza mara mbili

Ukiwa chumbani fanya umalaya kama wote hakuna kumdekeza
Humalizi? Hilo ndio swali naulizwa
 
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hakikisha PM yako iko wazi. Watajaa huko kama nzi kwenye kimba...na mijibaba iliyojivika wajihi wa madanga nayo itakuwemo.

Na leo hii hakikisha unamrushia mwalimu wako wa Marketing angalau buku ya kunywea Mirinda nyeusi! He taught you well!👏
 
Mpenzi umuandikie mali zako za nn tumia akili acha kuendeshwa na kichwa cha chini sikuizi ata mke hatumuandikii mali Bali tunawaandikia watoto tena uwe na uwakika hao watoto ni wako kweli
Asante kwa ushauri,ila ukweli ni kwamba nampenda sana hadi naona mali si kitu mbele yake. Nipo njia panda kwa kweli.
 
Haumfikishi kitandani ndio maana anakuendesha

Mwanamke ukimfikisha kitandani na hela unayo ni lazima akutii

Wanawake wa Afrika wanatii vitu viwili Hela na kuchelewa kumwaga kitandani
Sawa,kwa hiyo mkuu unanishauri nifanyeje?
 
Miaka yote uliyotumia kuifatilia jf haijakusaidia kumbe!, wewe ni zwazwa kama mazwazwa mengine hili halikutakiwa kuwa hata swali hiyo ilitakiwa iwe tiketi yake!. mkuu na note jina lako nikikuona jukwaani sehemu yoyote nakudunda nimeghafirika sana!
Mkuu kumbuka mapenzi ni uchizi,mapenzi ni upofu
 
Kassim Kahimiza VETA Turudi Tukasome
Tupate Upeo Wa Kufanya Hizi Hesabu
MAGAZIJUTO


Kwenye Kupenda Haoni, Chongo Atasema Kengeza
Kusikia Kwa Kenge, Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Back
Top Bottom