Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Poa kufanya nini?Lakini ukiachana na suala hilo kiukweli huyu manzi yupo poa tu
Poa kufanya nini?Lakini ukiachana na suala hilo kiukweli huyu manzi yupo poa tu
Ningekutandika bakora shenzi wewe huoni nini hapo?Kwa hiyo niachane nae tu ama?
Muoe maana naona unampenda...Ndo nilipanga nimuoe huyu tena nifanye harusi ya kifahari kabisa lakini sasa ndo limeibuka hili
Acha Ufala Dogo...Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
Na nyumba juu kabisa😂
Achana na huyo Mimi sitaki ata gari😂mkuuNdiyo mkuu
Yani ana sifa zote za kuwa mke wa mtuPoa kufanya nini?
Mhhh!Muoe maana naona unampenda...
Mkuu mbona kama unataka kunifilisiMwandikishe na umpatie kila kitu nyumba , Gari na mashamba
Ni MmakondeNi mpenzi wako! Hujafunga ndoa naye! Unaandikisha jina lake kwenye mali zako! Harafu huenda ni wa kaskazini kwa Wapalestina!
Naona upo sahihi mkuuAcha Ufala Dogo...
Mwambie atafute mali zake aandikishe Majina yake...
Mkuu vipi kwani?Na nyumba juu kabisa😂
Mapenzi hisia...Achana na huyo Mimi sitaki ata gari😂mkuu
Pole mkuu kwa kukuudhi ila sasa nimeshapata mwangazaKwanini unafuga mbwa kama hiyo fukuza hiyo mbwa haraka sana. Ukiendelea na tabia yako hiyo ya kingese unakua shoga siku sio nyingi, kama unataka kujua kiwango cha ujinga unaotaka kufanya mshirikishe mamako mzazi ndio utajua mamako anajuta kuizaa ng'ombe kama wewe...Kenge wewe... hicho kidemu vitakuwa vile vyembamba vyenye gubu vile vina ujinga sana, kitakuwa kimekuendea kwa mganga kakipa dawa kakiambia kikiropoka kitu chochote utakielewa tu si kimeshakuseti. Umeniudhi sana wewe jamaa.