Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

kumbe hujawaelewa wanawake, kuanzia leo ufuatilie hili

Chochote kwenye kungonoka atakachokuambia hataki ndio anakitaka, na atakachokuambia anataka ndio hataki

Akikuambia upunguze kasi wewe ongeza na akikuambia ongeza wewe ongeza mara mbili

Ukiwa chumbani fanya umalaya kama wote hakuna kumdekeza
Ww mwnyw hujawaelewa hao wanawake.

Ushasema akitaka kitu ndo hakitaki

Sasa iweje aseme ongeza na ww uongeze mara mbili wakati ushasema akitaka kitu anamaanisha hakitaki?
 
Acha uzoba wewe muandikishe haraka sana na hayo ndio mapenzi ya kweli.

Ukichelewa wenzio watamchukua na utabaki kulia tu.

Fanya nlivyokuelekeza sawa dogo?
Mkuu hata mimi nina mawazo kama yako lakini shida ni ndugu,jamaa na marafiki wanaweka kikwazo
 
kumbe hujawaelewa wanawake, kuanzia leo ufuatilie hili

Chochote kwenye kungonoka atakachokuambia hataki ndio anakitaka, na atakachokuambia anataka ndio hataki

Akikuambia upunguze kasi wewe ongeza na akikuambia ongeza wewe ongeza mara mbili

Ukiwa chumbani fanya umalaya kama wote hakuna kumdekeza
Kwa hiyo mkuu unamaanisha kuwa kamaanisha kinyume kwamba nisiandikishe jina lake?
 
Tukiacha kupoteza muda hapa kufarijiana,in short wewe hujui siyo bei ya tofali tu ila hata bei ya chumba cha kupanga huijui.

Mtu anayemiliki mali ulizoorodhesha hapo hawezi kuandika ulichoandika hapa.
Kwa nini unahisi hivyo mkuu
 
Kassim Kahimiza VETA Turudi Tukasome
Tupate Upeo Wa Kufanya Hizi Hesabu
MAGAZIJUTO


Kwenye Kupenda Haoni, Chongo Atasema Kengeza
Kusikia Kwa Kenge, Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Umeandika mafumbo sijakuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom