ivanmark714
Senior Member
- Jul 13, 2019
- 108
- 191
nilikua naitafuta hiicomment ya hii pichaš
nilikua naitafuta hiicomment ya hii pichaš
Mimi nimeikwepa mkuuSiasa haikwepeki mkuu
Na nyumba 3 za kisasaUmesema magari mawili?!
Tena suv nakwambia ukiingia tuu chupi inalowa yenyewe šUmesema magari mawili?!
Hapo kwenyw nyumba ukiingia tuu mwenyewe unapiga goti nakuanza kuimbaNa nyumba 3 za kisasa
Niandike jina langu kwenye ile bajaji yakoHapo kwenyw nyumba ukiingia tuu mwenyewe unapiga goti nakuanza kuimba
Kwa namna ninavyoona ushauri kutoka kwa wadau mbalimbali sidhani kama nitamuoa labda abadili msimamoUsisahau kumtolea mahari na kumpeleka vacation Dubai
Ni kweli kabisa mkuuMkuu siku hizi mali zote tunamuachia mama. Yaani ata ukitaka kununua boxer unampigia mama simu ndio akupe hela.
Hakimi kashatuonyesha njia ya kuishi na hawa kenge sasa wewe ukienda tofauti na muongozo wa rais wetu hakimi ujue utapigwa tuu
Nilishaandika jina la mamaNiandike jina langu kwenye ile bajaji yako
Usiwaonee huruma hao kenge wee mwambie muhimu sii nina kuhudumia. Kama wataka mali saka zako hapa tupo kiburudani zaidiNi kweli kabisa mkuu
Sikutaki tenaNilishaandika jina la mama
LohUsiwaonee huruma hao kenge wee mwambie muhimu sii nina kuhudumia. Kama wataka mali saka zako hapa tupo kiburudani zaidi
Ndio nyie wenyewe tukifulia hamtutaki kenge nyie. Tafuteni mali zenu wenyewe sii mnasema wat man can do woman can do
Ok bossMimi nimeikwepa mkuu
Vya utamu vimezaliwa vingiSikutaki tena
Tokea umekuwa hapa JF toka 2018 ni nini umejifunza hapa?Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
Ubaya ubwela au sioNdio nyie wenyewe tukifulia hamtutaki kenge nyie. Tafuteni mali zenu wenyewe sii mnasema wat man can do woman can do
Wakuu, naomba ushauri wa dhati. Je, ni busara kumwandikisha mpenzi mali zangu ili tu kulinda uhusiano? Nampenda sana, lakini naogopa kuumizwa. Nifanyeje?
KabisaUsiwaonee huruma hao kenge wee mwambie muhimu sii nina kuhudumia. Kama wataka mali saka zako hapa tupo kiburudani zaidi