Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Kama ushauri wa the so called "watu wako wa karibu" umeupuuza hadi umekuja jf kutaka ushauri inaonesha ni kiasi gani hauko tayari kushauriwa.

Wewe malizana na mpenzi wako "unayeogopa kumuumiza" ili ukianza kuumia uone kama atakuwa na wewe.
 
Nenda TANZlii kasome kesi za matrimonial alafu uje kusoma ulichoandika tena
 
Mmmh kwa nini aseme itakuwa mwisho wa mahisiano.. Angeacha tu uamue wewe kumuandika au kutomuandika
 
Hizi mada nyengine ni korofi especially mtoa mada akiwa na common sense haraf ni mtoto wa mjini.
 
Sio sahihi mzee tena usithubutu kabisa unataka kuingia kwenye kitanzi huyo ni Shetani
Asante ila ilikuwa chai tu maana sikuwa na cha kuleta jukwaani so nikaamua kupika story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…