Dilemma ya January, na watu wa Tanga

Dilemma ya January, na watu wa Tanga

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
704
Reaction score
572
Mimi simfahamu January.

January ana reflect dilemma ya watu wa Tanga na udhaifu wao kwenye siasa za CCM Tanzania.

Makabila ya pwani yenye nguvu ndani ya CCM ni watu wa mkoa wa Dar, mkoa wa Pwani, Unguja, na hawa wanashirikiana na watu wa kanda ya ziwa ambao some times ni ndugu zao kutokana na migrations za biashara ya utumwa.

Watu wa Tanga kama wasambaa wana undugu wa mbaaali na wachagga na wapare. Ingawa wasambaa hawapendi hii connection, kwasababu haiwasaidii kisiasa ndani ya CCM. Wapemba wa asili ambao sio washirazi au waarabu wana undugu wa mbaali na watu wa Tanga. Watu watanga pia wana undugu wa mbaaali na watu wa Mombasa.

Watu wa pwani wa mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara na Pemba wana ushawishi mdogo ndani ya CCM. Wanaweza kupata vyeo, lakini wana ushawishi mdogo.

Halafu makabila mengine ya pwani yana dhani kwamba watu wa Tanga wana majivuno. Kwa sababu labda watu wa Tanga in general wana sura nzuri kuliko watu wengine wa pwani.

So mtu wa Tanga kuwa rais wa CCM bado ni ngumu.

Solution ni watu wa Tanga kujikubali, na kutokujionea aibu. Na kuwa a politically independent block ndani ya CCM with equal power na hayo makabila mengine ya pwani.

Njia moja wapo ni kujitegemea kiuchumi. Hayo mashamba makubwa ya mkonge yazalishe pia mazao ya chakula kama sunflower, mahindi na maharagwe. Hii ni muhimu sana sana.

Halafu sehemu ndogo ya hayo mashamba makubwa irudishwe kwa wenyeji wa Tanga kwa usawa (na sio baadhi ya wazawa wapate mashamba makubwa huku wengine wakipata mashamba madogo).

Watu wa Tanga waboreshe elimu ya msingi na sekondari mpaka form 6 pamoja na VETA. Wawe pia na utamaduni wa kufanya biashara (halali na nzuri). Wawekeze pia kwenye utalii na viwanda. Wawe na tabia nzuri za kimaadili na wawe na ujirani mwema.

Mipaka ya miji ya Korogwe na Tanga mjini iongezwe.

ANGALIZO

Lengo la huu uzi ni kumuonea huruma January pamoja na watu wa Tanga. Na pia kumshauri January akomae zaidi na aimprove zaidi, na arekebishe mapungufu yake. Na pia ajue hali halisi ya kisiri siri ya siasa za Tanzania.

Uzi huu hauna lengo la kupromote migawanyiko ya aina yeyote kwenye jamii.
 
Tanga imeganyika sana ki siasa, Lushoto ambako wanapakana na Wapare na ndiyo kuelekea kaskazini Chadema na CCM wana mchuano mkali sana. 2015 isingekuwa bao la mkono jimbo la Bumbuli lisingekuwa CCM.

Kuna Wadigo wa Tanga na Wadigo wa Mombasa. Wadigo wengi walikuwa CUF na sasa wako ACT.

Tanga na Pemba safari hufanyika kwa mashua, watu wana undugu wa karibu sana. Wengi huku ni ACT.
 
Kaka unazidi kummaliza jamaa,
Mimi simfahamu January. Ila naona bado hajakomaa kuwa kiongozi mzuri. Na bado hatumjui the real January.

Kwa haraka haraka naona kwamba kuna kipindi alipokuwa madarakani ali kuwa kama ana wachukia wakristo in general na wachagga pia. Sasa sijui kama alikuwa ana wachukia kweli au kama alikuwa ana jidai ana wachukia (lakini kumbe hawa chukii).

Halafu anaonekana kidoogo kama ni mtu artificial na anaependa uelite.

January ana reflect dilemma ya watu wa Tanga na udhaifu wao kwenye siasa za CCM Tanzania.

Makabila ya pwani yenye nguvu ndani ya CCM ni watu wa mkoa wa Dar, mkoa wa Pwani, Unguja, na hawa wanashirikiana na watu wa kanda ya ziwa ambao some times ni ndugu zao kutokana na migrations za biashara ya utumwa.

Watu wa Tanga kama wasambaa wana undugu wa mbaaali na wachagga na wapare. Ingawa wasambaa hawapendi hii connection, kwasababu haiwasaidii kisiasa ndani ya CCM. Wapemba wa asili ambao sio washirazi au waarabu wana undugu wa mbaali na watu wa Tanga. Watu watanga pia wana undugu wa mbaaali na watu wa Mombasa.

Watu wa pwani wa mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara na Pemba wana ushawishi mdogo ndani ya CCM. Wanaweza kupata vyeo, lakini wana ushawishi mdogo.

Halafu makabila mengine ya pwani yana dhani kwamba watu wa Tanga wana majivuno. Kwa sababu labda watu wa Tanga in general wana sura nzuri kuliko watu wengine wa pwani.

So mtu wa Tanga kuwa rais wa CCM bado ni ngumu.

Solution ni watu wa Tanga kujikubali, na kutokujionea aibu. Na kuwa a politically independent block ndani ya CCM with equal power na hayo makabila mengine ya pwani.

Njia moja wapo ni kujitegemea kiuchumi. Hayo mashamba makubwa ya mkonge yazalishe pia mazao ya chakula kama sunflower, mahindi na maharagwe. Hii ni muhimu sana sana.

Halafu sehemu ndogo ya hayo mashamba makubwa irudishwe kwa wenyeji wa Tanga kwa usawa (na sio baadhi ya wazawa wapate mashamba makubwa huku wengine wakipata mashamba madogo).

Watu wa Tanga waboreshe elimu ya msingi na sekondari mpaka form 6 pamoja na VETA. Wawe pia na utamaduni wa kufanya biashara (halali na nzuri). Wawekeze pia kwenye utalii na viwanda. Wawe na tabia nzuri za kimaadili na wawe na ujirani mwema.

Mipaka ya miji ya Korogwe na Tanga mjini iongezwe.

Baadhi ya watu wa Tanga wasi uchukie ukristo. Baadhi yao wasi wanyanyapae wachagga.
 
Jomba hujambo kwa thread za ukabila, ukanda & udini
 
Tanga imeganyika sana ki siasa, Lushoto ambako wanapakana na Wapare na ndiyo kupelekwa kaskazini Chadema na CCM wana mchuano mkali sana. 2015 isingekuwa nao la mkono jimbo la Bumbuli lisingekuwa CCM.

Kuna Wadigo wa Tanga na Wadigo wa Mombasa. Wadigo wengi walikuwa CUF na sasa wako ACT.

Tanga na Pemba safari hufanyika kwa mashua, watu wana undugu wa karibu sana. Wengi huku ni ACT.
Lushoto ni Chadema?!!
 
Mimi simfahamu January. Ila naona bado hajakomaa kuwa kiongozi mzuri. Na bado hatumjui the real January.

Kwa haraka haraka naona kwamba kuna kipindi alipokuwa madarakani ali kuwa kama ana wachukia wakristo in general na wachagga pia. Sasa sijui kama alikuwa ana wachukia kweli au kama alikuwa ana jidai ana wachukia (lakini kumbe hawa chukii).

Halafu anaonekana kidoogo kama ni mtu artificial na anaependa uelite.

January ana reflect dilemma ya watu wa Tanga na udhaifu wao kwenye siasa za CCM Tanzania.

Makabila ya pwani yenye nguvu ndani ya CCM ni watu wa mkoa wa Dar, mkoa wa Pwani, Unguja, na hawa wanashirikiana na watu wa kanda ya ziwa ambao some times ni ndugu zao kutokana na migrations za biashara ya utumwa.

Watu wa Tanga kama wasambaa wana undugu wa mbaaali na wachagga na wapare. Ingawa wasambaa hawapendi hii connection, kwasababu haiwasaidii kisiasa ndani ya CCM. Wapemba wa asili ambao sio washirazi au waarabu wana undugu wa mbaali na watu wa Tanga. Watu watanga pia wana undugu wa mbaaali na watu wa Mombasa.

Watu wa pwani wa mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara na Pemba wana ushawishi mdogo ndani ya CCM. Wanaweza kupata vyeo, lakini wana ushawishi mdogo.

Halafu makabila mengine ya pwani yana dhani kwamba watu wa Tanga wana majivuno. Kwa sababu labda watu wa Tanga in general wana sura nzuri kuliko watu wengine wa pwani.

So mtu wa Tanga kuwa rais wa CCM bado ni ngumu.

Solution ni watu wa Tanga kujikubali, na kutokujionea aibu. Na kuwa a politically independent block ndani ya CCM with equal power na hayo makabila mengine ya pwani.

Njia moja wapo ni kujitegemea kiuchumi. Hayo mashamba makubwa ya mkonge yazalishe pia mazao ya chakula kama sunflower, mahindi na maharagwe. Hii ni muhimu sana sana.

Halafu sehemu ndogo ya hayo mashamba makubwa irudishwe kwa wenyeji wa Tanga kwa usawa (na sio baadhi ya wazawa wapate mashamba makubwa huku wengine wakipata mashamba madogo).

Watu wa Tanga waboreshe elimu ya msingi na sekondari mpaka form 6 pamoja na VETA. Wawe pia na utamaduni wa kufanya biashara (halali na nzuri). Wawekeze pia kwenye utalii na viwanda. Wawe na tabia nzuri za kimaadili na wawe na ujirani mwema.

Mipaka ya miji ya Korogwe na Tanga mjini iongezwe.

Baadhi ya watu wa Tanga wasi uchukie ukristo. Baadhi yao wasi wanyanyapae wachagga.
Umekurupuka mjomba. Katika yote uliyosema umebugi labda jina la January tu. Kama umetumwa basi aliyekutuma hatakulipa hata senti moja.
 
Katika hii uzi wako nina maswali mawili tu.

Ni nini January alifanya mpaka uone anachuki na wakristo?
Ni nini alifanya mpaka uone ana chuki na wachaga?

Najua kwakuwa kichwa chako hakipo sawa hautoweza kujibu hayo maswali.

Tumieni mbinu nyingine kuwachafua wanasiasa msiowapenda na sio hizi za udini na ukabila, zina madhara makubwa kuliko akili zenu ndogo hizo zinavyofikiri.
 
Acha ukabila bwana
 
tapatalk_1563689715241.jpeg
 
Kijana, wacha ubahau.
 
SIjaisoma yote but nimesoma almost 75% of it; nilicho gundua, umeanza na assumptions dhidi ya January na watu wa Tanga and then assumption hiyo hiyo ukaitolea jibu; Kuhusu January kuwachukia Wakristo, sidhani kama itakua na ukweli, cause nijuavyo mama yake Januari ni Mhaya wa Bukoba na ni Mkristo na sehemu kubwa dogo kalelewa na bibi yake mzaa mama huko Bukoba; mengine hayo mi sijui
 
Katika hii uzi wako nina maswali mawili tu.

Ni nini January alifanya mpaka uone anachuki na wakristo?
Ni nini alifanya mpaka uone ana chuki na wachaga?

Najua kwakuwa kichwa chako hakipo sawa hautoweza kujibu hayo maswali.

Tumieni mbinu nyingine kuwachafua wanasiasa msiowapenda na sio hizi za udini na ukabila, zina madhara makubwa kuliko akili zenu ndogo hizo zinavyofikiri.
Kwa uandishi ule sidhani kama ana uwezo wa kukujibu yaani jamaa ni kilaza kuliko Musiba.
 
Sasa humjui unasemaje bado hajakomaa kuwa kuongozi. Wapumbavu wamekuwa wengi sana siku hizi.
Angekuwa amekomaa angemjua vizuri, bado ni mtoto sana ktk siasa sema anajitutumua sana kwa uswahili, fitna na porojo za baba yake.
 
Back
Top Bottom