Mimi simfahamu January. Ila naona bado hajakomaa kuwa kiongozi mzuri. Na bado hatumjui the real January.
Kwa haraka haraka naona kwamba kuna kipindi alipokuwa madarakani ali kuwa kama ana wachukia wakristo in general na wachagga pia. Sasa sijui kama alikuwa ana wachukia kweli au kama alikuwa ana jidai ana wachukia (lakini kumbe hawa chukii).
Halafu anaonekana kidoogo kama ni mtu artificial na anaependa uelite.
January ana reflect dilemma ya watu wa Tanga na udhaifu wao kwenye siasa za CCM Tanzania.
Makabila ya pwani yenye nguvu ndani ya CCM ni watu wa mkoa wa Dar, mkoa wa Pwani, Unguja, na hawa wanashirikiana na watu wa kanda ya ziwa ambao some times ni ndugu zao kutokana na migrations za biashara ya utumwa.
Watu wa Tanga kama wasambaa wana undugu wa mbaaali na wachagga na wapare. Ingawa wasambaa hawapendi hii connection, kwasababu haiwasaidii kisiasa ndani ya CCM. Wapemba wa asili ambao sio washirazi au waarabu wana undugu wa mbaali na watu wa Tanga. Watu watanga pia wana undugu wa mbaaali na watu wa Mombasa.
Watu wa pwani wa mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara na Pemba wana ushawishi mdogo ndani ya CCM. Wanaweza kupata vyeo, lakini wana ushawishi mdogo.
Halafu makabila mengine ya pwani yana dhani kwamba watu wa Tanga wana majivuno. Kwa sababu labda watu wa Tanga in general wana sura nzuri kuliko watu wengine wa pwani.
So mtu wa Tanga kuwa rais wa CCM bado ni ngumu.
Solution ni watu wa Tanga kujikubali, na kutokujionea aibu. Na kuwa a politically independent block ndani ya CCM with equal power na hayo makabila mengine ya pwani.
Njia moja wapo ni kujitegemea kiuchumi. Hayo mashamba makubwa ya mkonge yazalishe pia mazao ya chakula kama sunflower, mahindi na maharagwe. Hii ni muhimu sana sana.
Halafu sehemu ndogo ya hayo mashamba makubwa irudishwe kwa wenyeji wa Tanga kwa usawa (na sio baadhi ya wazawa wapate mashamba makubwa huku wengine wakipata mashamba madogo).
Watu wa Tanga waboreshe elimu ya msingi na sekondari mpaka form 6 pamoja na VETA. Wawe pia na utamaduni wa kufanya biashara (halali na nzuri). Wawekeze pia kwenye utalii na viwanda. Wawe na tabia nzuri za kimaadili na wawe na ujirani mwema.
Mipaka ya miji ya Korogwe na Tanga mjini iongezwe.
Baadhi ya watu wa Tanga wasi uchukie ukristo. Baadhi yao wasi wanyanyapae wachagga.