SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
A certified idiot.Samahani kwa lugha ila mwandishi wa uzi huu, hauna akili .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A certified idiot.Samahani kwa lugha ila mwandishi wa uzi huu, hauna akili .
Support.
Mke wa january ni mchaga na ni mkristo.
Njoo na hoja nyingine
Ni ajabu kwamba Tanzania ya leo tumerudi hadi kufikia kwenye 'level' hii! Ni ajabu kubwa sana!!Mipaka ya miji ya Korogwe na Tanga mjini iongezwe.
Baadhi ya watu wa Tanga wasi uchukie ukristo. Baadhi yao wasi wanyanyapae wachagga.
unaelewa maana ya hiyo art?
Mke wa january ni mchaga na ni mkristo.
Njoo na hoja nyingine
Wewe si ndiye umeanza kumdiscus January? Yaani hata hujui kwa nini ulianzisha hii thread. Umetumia kilevi gani hiki?Sometimes human relationships don't matter, if they get in the way of ambitious people.
Soma baadhi ya story za Shakespeare, historia ya Ugiriki ya zamani (as sometimes narrated by Herodotus and or in some of the Greek tragedies), Machiavelli, masimulizi ya Josephus, historia ya wafalme wa Ulaya, story ya Absalom na baba yake King David, story ya Delilah etc.
Any way tuya ache haya mambo ya kumdiscuss mtu.
Mnaiangalia Tanga kisha mnadhan watu wa Tanga ndio wameifanya kuwa ilivyo sio?Mimi simfahamu January. Ila naona bado hajakomaa kuwa kiongozi mzuri. Na bado hatumjui the real January.
Kwa haraka haraka naona kwamba kuna kipindi alipokuwa madarakani ali kuwa kama ana wachukia wakristo in general na wachagga pia. Sasa sijui kama alikuwa ana wachukia kweli au kama alikuwa ana jidai ana wachukia (lakini kumbe hawa chukii).
Halafu anaonekana kidoogo kama ni mtu artificial na anaependa uelite.
January ana reflect dilemma ya watu wa Tanga na udhaifu wao kwenye siasa za CCM Tanzania.
Makabila ya pwani yenye nguvu ndani ya CCM ni watu wa mkoa wa Dar, mkoa wa Pwani, Unguja, na hawa wanashirikiana na watu wa kanda ya ziwa ambao some times ni ndugu zao kutokana na migrations za biashara ya utumwa.
Watu wa Tanga kama wasambaa wana undugu wa mbaaali na wachagga na wapare. Ingawa wasambaa hawapendi hii connection, kwasababu haiwasaidii kisiasa ndani ya CCM. Wapemba wa asili ambao sio washirazi au waarabu wana undugu wa mbaali na watu wa Tanga. Watu watanga pia wana undugu wa mbaaali na watu wa Mombasa.
Watu wa pwani wa mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara na Pemba wana ushawishi mdogo ndani ya CCM. Wanaweza kupata vyeo, lakini wana ushawishi mdogo.
Halafu makabila mengine ya pwani yana dhani kwamba watu wa Tanga wana majivuno. Kwa sababu labda watu wa Tanga in general wana sura nzuri kuliko watu wengine wa pwani.
So mtu wa Tanga kuwa rais wa CCM bado ni ngumu.
Solution ni watu wa Tanga kujikubali, na kutokujionea aibu. Na kuwa a politically independent block ndani ya CCM with equal power na hayo makabila mengine ya pwani.
Njia moja wapo ni kujitegemea kiuchumi. Hayo mashamba makubwa ya mkonge yazalishe pia mazao ya chakula kama sunflower, mahindi na maharagwe. Hii ni muhimu sana sana.
Halafu sehemu ndogo ya hayo mashamba makubwa irudishwe kwa wenyeji wa Tanga kwa usawa (na sio baadhi ya wazawa wapate mashamba makubwa huku wengine wakipata mashamba madogo).
Watu wa Tanga waboreshe elimu ya msingi na sekondari mpaka form 6 pamoja na VETA. Wawe pia na utamaduni wa kufanya biashara (halali na nzuri). Wawekeze pia kwenye utalii na viwanda. Wawe na tabia nzuri za kimaadili na wawe na ujirani mwema.
Mipaka ya miji ya Korogwe na Tanga mjini iongezwe.
Uhusiano wa January Makamba, mtoto wa Kinana, na Rashid Shamte ni mkubwa zaidi
Uhusiano kati ya January Makamba, mtoto wa kinana na yule jamaa wa text za kichochezi na chuki dhidi ya wakatoliki Tanzania nzima, kabila la wachagga, na wakazi wa mikoa ya kaskazini (ajulikanaye kama Rashid Shamte) ni mkubwa kuliko tulivyodhania. Jana kulikuwa na habari kuwa Shamte anataka...www.jamiiforums.com
ANGALIZO
Lengo la huu uzi ni kumuonea huruma January pamoja na watu wa Tanga. Na pia kumshauri January akomae zaidi na aimprove zaidi, na arekebishe mapungufu yake. Na pia ajue hali halisi ya kisiri siri ya siasa za Tanzania.
Uzi huu hauna lengo la kupromote migawanyiko ya aina yeyote kwenye jamii.
Siasa za kijinga based on ukabila.Mimi simfahamu January. Ila naona bado hajakomaa kuwa kiongozi mzuri. Na bado hatumjui the real January.

Very STUPID! Hivi unafahamu kwamba mama yake January ni Mkristo (labda kama baadae alisilimu)?! Kwahiyo unataka kusema January alikuwa anamchukia mama yake kwa sababu Mkristo?! Au hata kama alisilimu, unataka kusema January anawachukia wajomba zake? Halafu leo ndo nasikia eti makabila ya pwani wanawaona watu wa Tanga wana majivuno!!Kwa haraka haraka naona kwamba kuna kipindi alipokuwa madarakani ali kuwa kama ana wachukia wakristo in general na wachagga pia. Sasa sijui kama alikuwa ana wachukia kweli au kama alikuwa ana jidai ana wachukia (lakini kumbe hawa chukii).
Hiyo imeletwa na mdini kama wewe!!Je mmeisoma hii thread hapa chini:
Uhusiano wa January Makamba, mtoto wa Kinana, na Rashid Shamte ni mkubwa zaidi
Uhusiano kati ya January Makamba, mtoto wa kinana na yule jamaa wa text za kichochezi na chuki dhidi ya wakatoliki Tanzania nzima, kabila la wachagga, na wakazi wa mikoa ya kaskazini (ajulikanaye kama Rashid Shamte) ni mkubwa kuliko tulivyodhania. Jana kulikuwa na habari kuwa Shamte anataka...www.jamiiforums.com
Again lengo ni kumhurumia na kumjenga ili ajirekebishe na ajitambue vizuri zaidi.
Tuchangie mambo ya kiuchumi wakati thread yako ime-base kwenye udini na ukabila?!Changieni kidogo mambo ya sera za kiuchumi, zitakazo usaidia mkoa wa Tanga uendelee zaidi.