Dilemma ya January, na watu wa Tanga

Find out Mama yake January ni wa kabila gani na dini gani and then find out Mke wake anatokea kabila gani na dini yake ni ipi.
Mleta mada nikushauri ukae mbali saana na ukabila na udini
Hajui kuwa Mama yake ni mkristo na ni Mhaya. Hajui kuwa Mama yake ni ndugu na Kanidali Rugambwa. Hajui mke wake ni mkristo na mchagga. January mwenyewe hata haeleweki ni dini gani.

Mazindu Msambule
 
Good narration
 


Kwanza wengi hamjui January ni mbunge wa huko Lushoto. Lushoto sio Pwani kabisa ni milimani karibu na mkoa wa Kilimanjaro na wanapakana na milima ya upareni. Hivyo utamaduni wa watu wa Lushoto ni tofauti sana na utamaduni wa watu wa Tanga mjini au maeneo ya kule. Ni kwamba tu kwasababu usaambaani kuna waislamu wengi ndiyo maana watu wanadikiri hivi. Hivyo January si Mtanga wa hivyo. Vilevile wasambaa ni makabila mengi mchanganyiko watu waliamia kule kwasababu ya hali ya hewa kuwa nzuri hasa kwa kilimo ni makabila kibao wapare, wazigua ... ndiyo wamejaa
 
Kwa maneno haya angekuwa anaseme mtu mwingine anasemwa katika nchi hii angekuwa amepewe kesi ya utakasishaji wa fedha, shida hapa ni kuwa fedha zilipigwa na zinapigwa hadi sasa lakini wanaotafutwa ni watu wa kikundi kimoja tu wengine wanaachwa naomba mungu 2025 apatikane raisi kama mandela ambaye ataacha visasi, shida siyo upigaji wa fedha ni maandalizi ya uongozi.
 
Sio sahihi kusingizia mtu kwa kumufitinisha kwa watu kwa ukabila,udini na ukanda.Hata kama humupendi January usimupachike uovu wako ukategemea watu wata support.''The Apparel proclaims the man'' Mapambo,Mavazi au rather maandishi yako yaonyesha wewe umejaa chuki inayomuchukiza Mwenyezi Mungu.
 
Sema Cuf dada,ACT anaijua nani?ipo zanzibar tu
 
 
Mnawaza nini mnapotaka kuandika? Jitahidi kutengeneza hoja zenye maana u reflex u great thinker
 
Atachukiaje wakristo wakati mama yake ni mkristo?
 
Lengo la huu uzi ni kumuonea huruma January pamoja na watu wa Tanga. Na pia kumshauri January akomae zaidi na aimprove zaidi, na arekebishe mapungufu yake. Na pia ajue hali halisi ya kisiri siri ya siasa za Tanzania.

Uzi huu hauna lengo la kupromote migawanyiko ya aina yeyote kwenye jamii.

 
Pia wapunguze vilinge (Vibanda vya msonge vilivyosimikwa bendera tatu za kaniki moja nyeusi, nyeupe na nyekundu) kwenye nyumba/makazi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…