Dilemma ya January, na watu wa Tanga


Je mmeisoma hii thread hapa chini:


Again lengo ni kumhurumia na kumjenga ili ajirekebishe na ajitambue vizuri zaidi.
 
Changieni kidogo mambo ya sera za kiuchumi, zitakazo usaidia mkoa wa Tanga uendelee zaidi.
 
Mipaka ya miji ya Korogwe na Tanga mjini iongezwe.

Baadhi ya watu wa Tanga wasi uchukie ukristo. Baadhi yao wasi wanyanyapae wachagga.
Ni ajabu kwamba Tanzania ya leo tumerudi hadi kufikia kwenye 'level' hii! Ni ajabu kubwa sana!!
Na je, tutadidimia hadi wapi?
 
Mke wa january ni mchaga na ni mkristo.
Njoo na hoja nyingine

Sometimes human relationships don't matter, if they get in the way of ambitious people.

Soma baadhi ya story za Shakespeare, historia ya Ugiriki ya zamani (as sometimes narrated by Herodotus and or in some of the Greek tragedies), Machiavelli, masimulizi ya Josephus, historia ya wafalme wa Ulaya, story ya Absalom na baba yake King David, story ya Delilah etc.

Any way tuya ache haya mambo ya kumdiscuss mtu.
 
Wewe si ndiye umeanza kumdiscus January? Yaani hata hujui kwa nini ulianzisha hii thread. Umetumia kilevi gani hiki?
 
Mnaiangalia Tanga kisha mnadhan watu wa Tanga ndio wameifanya kuwa ilivyo sio?
Sasa kwanza Tanga si mkoa wa Kijani CCM kama unavyofikiri ni watu ambao hutazama kisha kujiamulia .
Kama ambavyo ilifanyika Unguja Maalim kupokwa uraisi na Huku huwa ni vivyohivyo miaka nenda rudi.
Na nakuambia February anajua vema kuna maeneo kule Lushoto aidha hafiki au akifika huwa anapata taabu sana, kwani huzomewa kuanzia mwanzo mpk mwisho.
Lastly waulizeni wazee wenu ilikuwa Tanga ilikuwa ni indusrial region na leo ipo vile?
Nini kilimuuma Mkapa mpaka akaamua kuua viwanda vyote?
 
Siasa za kijinga based on ukabila.
 
Wapemba ndio wapinzani wakweli wa nchi hii hawayumbi, hivyo hawana shida na vyeo vya CCM. Wataingia ikulu kupitia ACT kule Zanzibar. Maana this time hakuna kuomba haki cjui kwa mataifa ya ulaya ni pale pale, piga, Chinja, ua mpaka kieleweke.
 
Wewe pia unamuona January kama nnavyomuona mimi hayo mengine siyaingilii Kwasababu siyajui.

Hili suala la kujiona yeye ni elite analo sana na linamtafuna mno. Yaani caliba ya January ni Fid Q huwa wanahisi ni watu wenye mawazo mazuri zaidi ya wengine. January anajiona ana brain safi, hata akizungumza ni mchaguzi sana wa maneno.

Katika habari za dini jamaa ni mweupe sana, katika uislam naye yupo kwenye kundi linalopigiwa kelele kwamba yuko kwa ofisi na bado uislam haufaidiki na uwepo wake katika ofisi hiyo. Yaani ni kama waislamu wengi waliopo upande huo.
 
Kwa haraka haraka naona kwamba kuna kipindi alipokuwa madarakani ali kuwa kama ana wachukia wakristo in general na wachagga pia. Sasa sijui kama alikuwa ana wachukia kweli au kama alikuwa ana jidai ana wachukia (lakini kumbe hawa chukii).
Very STUPID! Hivi unafahamu kwamba mama yake January ni Mkristo (labda kama baadae alisilimu)?! Kwahiyo unataka kusema January alikuwa anamchukia mama yake kwa sababu Mkristo?! Au hata kama alisilimu, unataka kusema January anawachukia wajomba zake? Halafu leo ndo nasikia eti makabila ya pwani wanawaona watu wa Tanga wana majivuno!!

Mdini na mkabila mkubwa, usiye hata na aibu!!
 
Hiyo imeletwa na mdini kama wewe!!
 
Changieni kidogo mambo ya sera za kiuchumi, zitakazo usaidia mkoa wa Tanga uendelee zaidi.
Tuchangie mambo ya kiuchumi wakati thread yako ime-base kwenye udini na ukabila?!
 
Ila ukweli usiopingika January is not a politician and was even not supposed to be a politician ni kwa sababu tu baba alikuwa kwenye hiyo field akalazimsha mwanae naye aingie huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…