ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Kule kujitoa muhanga ndio kunalipa unapiga mshindo wako mmoja unatoka mazima. Acha kuogopa ogopa mtoto wa kiume lazima ujitoe ili uzifikie ndoto zako. Hii Tanzania ata pembe za ndovu unapita nazo barabarani tu bila shida, ukishikwa ujue umechomwa. Hakuna mtu anakuja tu anahisi una mali flani bila yeye kupewa taarifa. Hizi mambo ni upate watu sahihi
Kwenye utafutaji weka uoga pembeni jiamini hata kama umebeba bangi ondoa hofu