Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Hii Tanzania kusafirisha bangi kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni rahisi sana. Mimi ningepata connection ya wapi natoa na wapi nauza hii kitu ningeifanya.
Kwani hili la bangi lina ugumu gani wakuuu? Maana naendeshaga gari Dsm hadi Mza, Arusha hadi Dom, naweza njia nzima nisimamishwe na trafik, ikitokea ni mara moja moja pia tena ukiwatangulizia elf 5 mkononi hawahitaj hata kuendelea kuongea na ww.
Je huo muda ukiwa umejaza bangi kwenye boot si unatamba tu au?