Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kua serious million Moja atafanyaje biashara ya nafaka? Kama Mchele gunia Moja tu ni laki 2 Sasa gunia 5 ataenda nazo wapi?Haujawahi kwenda ugenini kufanya mishe chief? Kuna watu wanajibana hata na m1,m2 na kuendelea .
Nadhani boda ya Kasumulu ni the best, ukiwa na mtaji mdogo unachukua mzigo karonga (km50 toka border) unakuja kuuza border . Muhimu ujue exchange rate,fanya ku-download XE currency converter kwenye simu yako kwa ajili ya mazoezi. Tunduma pia sio kubaya.Mkuu kama kweli unamaanisha tujipange kufikia huo mwezi tuingie huko, hatuwezi kosa pa kuanzia tukiisha fika huko.
Chances chache sana kati ya watu buku inatokea kwa mmoja, kwa hiyo katika maisha ya utafutaji tunaiita negligible (kuipuzia)Wengine hawatumii nguvu, ni kuwa tuu sehemu sahihi kwa wakati sahihi, mara paap mamilioni haya hapa unaombwa upokee... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ni tajiri boss,watu wanakomaa na mitaji midogo mpaka inakua . Kuna nafaka z mitaji midogo sio mchele .Mkuu kua serious million Moja atafanyaje biashara ya nafaka? Kama Mchele gunia Moja tu ni laki 2 Sasa gunia 5 ataenda nazo wapi?
The impact of necessity, leads to out standing innovation 🤒Life gumu sana aisee 🤣🤣🤣
Nime sambaza ngano na sembe, katika ujazo mdogo mdogo.Wewe ni tajiri boss,watu wanakomaa na mitaji midogo mpaka inakua . Kuna nafaka z mitaji midogo sio mchele .
🫡🍹 Tusikate tamaa .Nime sambaza ngano na sembe, katika ujazo mdogo mdogo.
👉Kuna mtonyo mzuri kule🤒
Mki tinga tunduma, mni shtue.🍹🫡
🫡🍹 Tusikate tamaa .
Siyo kitu cha kupuuzia kabisa, unless otherwise kama upo nje ya wenye mifumo yao... yani upo upo tuu ordinary person/citizen yan hauna uwezo wa ku influence chochote katika hii nchiChances chache sana kati ya watu buku inatokea kwa mmoja, kwa hiyo katika maisha ya utafutaji tunaiita negligible (kuipuzia)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hujui deals haramu? Kauze/kabebe unga utatajirika haraka sana, kaibe benki kuna mabilioni kule pigo moja tu ushatoka,nenda mbugani Kaue tembo utatoka haraka sana.
Sure...Kweli?
Pitia na kule Chunya niliwaona akina Riz1 nao wanachimba chimba kule...japo yeye anafanya kwa large scale kutokana na ukubwa wa msuli wake wa kifedha
Pembe za ndovu unaweza kusafirisha?
V
Nadhani boda ya Kasumulu ni the best, ukiwa na mtaji mdogo unachukua mzigo karonga (km50 toka border) unakuja kuuza border . Muhimu ujue exchange rate,fanya ku-download XE currency converter kwenye simu yako kwa ajili ya mazoezi. Tunduma pia sio kubaya.
Moja ya njia za kupata pesa ni hii
Kama una simu kubwa fanya online business pita sehemu wanazouza vitu vya ndani piga picha post kwenye magroup ya WhatsApp na kwenye status zako huwezi kukosa utakuwa unapata cha huu na udalali kutoka kwa wenye Mali zao. Au pita kwenye sehemu wanazo tengeneza vitu vya ndani furniture's piga picha post kwenye magroup ya WhatsApp kitanda cha laki mbili unaandika 250,000 na usafiri ukimpelekea mteja analipia mwenyewe hapo unakuwa umepata cha huu na commission kutoka kwa fundi. Sio kitanda tu furniture's zote.
Unaweza tangaza Biashara za watu nyingi nyingi tu.
Nguo
Perfume
Viatu
Saa na vitu vya nyumbani kama Radios, TV, vyombo vya jikoni nk
Ni jutihada zakk tu.
Kwani yule Jeff Bezos mwenye Amazon naye si ni dalali tu ?
We unaogopa nini. Yaani unakuwa ni Mobile Duka
Kwenda Somalia kuteka meli tuliteka meli nne nikapata dola elf 40 ndio Niko nayo had Sasa[emoji1787][emoji1787]
😁😁😁Naweza mkuu
Kwani hili la bangi lina ugumu gani wakuuu? Maana naendeshaga gari Dsm hadi Mza, Arusha hadi Dom, naweza njia nzima nisimamishwe na trafik, ikitokea ni mara moja moja pia tena ukiwatangulizia elf 5 mkononi hawahitaj hata kuendelea kuongea na ww.
Je huo muda ukiwa umejaza bangi kwenye boot si unatamba tu au?
Nimefanya biashara mwaka jana kisha nikasogea South Africa,naongelea fursa nilizo ziona. Upepo ukiwa mgumu huku nitarudi tena,border towns ndiyo mpango mzima kama una mtaji mdogo.Kwahiyo mkuu huo mwezi wa nne huwa uko busy sana hapo boda kwa biashara ya nafaka? Na hapo boda ni wanunuzi wapi hasa, vipi kuhusu aina ya ununuzi ni kwa jumla ama reja reja?
Nimefanya biashara mwaka jana kisha nikasogea South Africa,naongelea fursa nilizo ziona. Upepo ukiwa mgumu huku nitarudi tena,border towns ndiyo mpango mzima kama una mtaji mdogo.