Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze


Kwenye utafutaji weka uoga pembeni jiamini hata kama umebeba bangi ondoa hofu
 
Idete,namawala,mbingu au mngeta....ila kule mazo bwerere issues ni kupata masoko
 
Hamna mwenye ushuhuda wa Bitcoin ikiwa dolar moja alinunua bitcoin hata tano tu,na kuziacha kwenye wallet, leo hii anakula maisha kupitia Bitcoin.
Leo iko na thamani ya usd 42,000 kwa Bitcoin moja ,kuwa nazo tano tu tayari ungekuwa kwenye utajiri . Matazamio ni kwamba baada ya miaka 10 tena ,itafika dollar zaidi ya 250,000 ,Je hatuoni kuwa ni fursa ,kuwekeza kwenye technology hii ya pesa za mtandaoni?..au mchawi pesa (mtaji) ? Haya ila miaka 10 ijayo tutashangaana hapa hapa ...bei itakavyokuwa imepaa..,Muda ni shahidi mzuri tusubiri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Dah! Majeneza

Vp unapost matangazo mtandaoni?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Maisha huwa yana siri kubwa sana, na kufanikiwa kwa mtu sio lazima afanye deal wala nini

Mimi nafanikio yangu hayakupatikana kwa deal labda nikapata, hapana. Mafanikio nilipata kupitia connection ya sehemu mbili nilizokuwa nimezitega. 1 nyumba za ibada 2. Maeneo ya viwanja vya michezo. Ijapokuwa kati ya mitego 2 mmoja wa nyumba ya ibad ndio ilinipa kazi

Kwenye nyumba ya ibad mm kwangu ilikuwa kutengeneza connection ya watu wenye mafanikio maan niliamini kupitia wao na mimi nitafanikiw vile vile, kupiga story na kila mtu, utani wa hapa na pale, kusalimia kila mtu mpaka watoto, kubadilishana uzoefu na kila mtu kwalengo lakujua yeye anafanya nini na mimi nafanya nini.

Hamadi mwisho wa siku connection nikapata ya mtu ambaye tulikuwa tumeanz tengenez urafiki n sikujua kumbe yeye ndio atakuja kuwa foreman wangu, baad yakunipa nafasi katika kampuni nilipo.

Urahisi au kufahamiana huko kulitengeneza mazingira ya mimi kupata kazi hiyo kwa sababu kuu moja " uwaminifu na ukweli". Jamaa alikuwa ni mtu akikuuliza swali leo baada ya wiki mbili atakuuliza swali hilohilo kwa namba nyingine kwa lengo lakukupima je uumkweli wa yale unyoyaongoa!

Baada yakupata kazi ndio akaja kuniambia katika watu wakweli na mwaminifu aliyewahigi kuombwa nao ajira mimi nilikuwa mmoja wapo.
 
Aliyetusua kwa Bitcoin ni Bongo zozo pekee.

Sa hivi ana travel the world daily.

Mwamba sijui siri yake ni ipi?
 
deal za kiume hizi
 
Utajiri una siri nyingi, mbaya zaidi watu matajiri hawapo tayari kukwambia hata iweje.
Wanakutia tu moyo, ooh fanya kazi kwa bidii. Jitume
Ila nyuma ya pazia ni balaa na nusu
Kuna muda matajiri wanatamani kutuambia ukweli ila wanaogopa sababu moyo wa uthubutu wa kujitoa muhanga tunakuwa hatuna, alaf hatuna siri

mfano mimi nafanya biashara vinywaji soda, mimi uwa najitahidi kidogo ukilinganisha na washindani wenzangu
Msimu wa kiangazi soda zinakuwa adimu uwa tunapandisha bei ili kupata faida walau sababu ukifata faida waliyo kupangia kampuni kutoboa inakuwa ngumu
Biashara imenoga kuna mshindani anashusha bei ukizingatia umemzidi mtaji, ukimhoji anadai kafokewa na kiongozi wa kampuni ana abuse bei mpaka unajiuliza kwani mtaji kapewa na kampuni?
Je mtu kama huyu wa kumpa dili? Kafokea kidogo ameshakata tamaa, siku ukimpa mbinu za kupata mzigo anakuchoma.
 
nimekusoma mkuu
 
Mim nataman kufungua biashara ya vinywaji naweza karibia pm
 
Mim nataman kufungua biashara ya vinywaji naweza karibia pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…