Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nivunja Bank.Wakuu nimekua nikipambana bila mafanikio. Nimejaribu fursa mbalimbali lakini mambo bado bilabila.
Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko, nimejaribu kutoa boda za mkataba lakini bado napigwa ngumi za pua.
Najua JF pana wengi na hapakosi kuwa na mengi ya kujifunza!
Hivi ulifanyaje fanyaje hadi ukatoboa? Ni vipi ulipatata financial freedom, dili gani ulipiga likakutoa kimaisha!
Yaani hii affiliate marketing achana nayo kabisa aisee, Mimi sikuwa hizo za Forex sababu nilichelewa kujua ikawa imeshavamiwa. Kwa mwezi kwenye affiliate za makamouni ya kubeti jumla nilikuwa ninakusanya mpaka euros 3,000 ikaenda kwa miezi kama 6 hivi, baadaye ikaanza kusuasua sababu watu walishaanza kuijua na wakavamia. Huwa sisahau zile faida. Ila nimejifunza fursa hizi huwa zinakuja na kupotea, hautakiwi kuzembea.Nakumbuka around 2017 Forex ndio imeingia bongo. Affiliate marketing ya Templer walinipatia karibia dollar 4000, around Milioni 9 kasoro within a very short period of time
Sema sa ivi mzigo adimuSo much money 💰
Kuna wakati inatamanisha nirudi tena kufanya ulanguzi basi tu
Na wewe Rudi kqa wazazi wako, kila mtu akae kwao😄🤒Siri pekee ninayo kupa ni...
Umesha kua sasa fanya uhame hapa nyumbani kwangu..🤨
Na wewe Rudi kqa wazazi wako, kila mtu akae kwao😄🤒Siri pekee ninayo kupa ni...
Umesha kua sasa fanya uhame hapa nyumbani kwangu..🤨
Nenda kariakoo fatilia bidhaa mpya sokoni yani zile za moto hazijaingia mtaani nunua kwa bei chee (hapa uwe na bargaining power) tembeza kitaa jumla na rejareja.Wakuu nimekua nikipambana bila mafanikio. Nimejaribu fursa mbalimbali lakini mambo bado bilabila.
Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko, nimejaribu kutoa boda za mkataba lakini bado napigwa ngumi za pua.
Najua JF pana wengi na hapakosi kuwa na mengi ya kujifunza!
Hivi ulifanyaje fanyaje hadi ukatoboa? Ni vipi ulipatata financial freedom, dili gani ulipiga likakutoa kimaisha!
Tupe hata haramu mkuu.. Muhimu connectionHaram au halal tuanzie hapo
Hii ndio point ya msingi hapa.bongo bila koneksheni pagumu sana
Kabisa kabisa! Huwa hazidumuYaani hii affiliate marketing achana nayo kabisa aisee, Mimi sikuwa hizo za Forex sababu nilichelewa kujua ikawa imeshavamiwa. Kwa mwezi kwenye affiliate za makamouni ya kubeti jumla nilikuwa ninakusanya mpaka euros 3,000 ikaenda kwa miezi kama 6 hivi, baadaye ikaanza kusuasua sababu watu walishaanza kuijua na wakavamia. Huwa sisahau zile faida. Ila nimejifunza fursa hizi huwa zinakuja na kupotea, hautakiwi kuzembea.
Hauna adabu kubishana na baba yako hadharani, na leo hauli hapa nyumbani kwangu...🤨 uende huko huko ukale JamiiForumsNa wewe Rudi kqa wazazi wako, kila mtu akae kwao😄🤒
Basi tuta yamaliza, maana leo kuli kuwa na mtu ana taka usafiri was private hapo maeneo ya home.Hauna adabu kubishana na baba yako hadharani, na leo hauli hapa nyumbani kwangu...🤨 uende huko huko ukale JamiiForums
Acha kutamani vitu vikubwa katika level ya uharamu.
[emoji117]Hebu jaribu ku import bangi kutoka morogoro, afu ndo uanze kuji pima level nyingine [emoji855]