Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Haram ndio poa.Haram au halal tuanzie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haram ndio poa.Haram au halal tuanzie hapo
Halal hutoboi lazima upige rhumba sana, akupe Hilo lingine tuu.ni vyema halali
lakini kwa usawa huu weka lolote tuone nafuu ikowapi
Asa jamani Intelligent businessman mie nimefanya nini?Madame B Ume Anza 😁🤒
Haya ma-deal yanafanywa na maaskari wengi sana ukibahatika lazima utoboeTulia nikupe Dili la jamaa mmoja askari mkoa Fulani hapa Tanzania.
Dili likuwa hivi, kuna Kijiji Fulani katika huo mkoa kuna wafugaji wa Ngo'mbe sasa siku moja kukawa kuna Ngo'mbe wengi sana wameibiwa nadhani mnafahamu jamii za wafugaji.
Zile Ngo'mbe ziliibiwa maana jamii za wafugaji Huwa wana hizi tabia za kuibiana, basi ikapigwa simu kituo cha polisi Kijiji Fulani kuna wizi ya mifugo mingi , basi mapoti wakatoka kama sita na difenda mpaka uhuuuuu mpaka hapo kwenye Icho kijiji.
Basi polisi wale ikabidi waanze msako maana jamaa aliyebiwa mifugo ni msukuma na ana Ngo'mbe mpaka anasahau, basi wale mapoti waliendelea kutafuta mpaka Giza linaingia kwenye wengi lazima wapo wanaopata tamaa ndio kilitokea.
Wengine wakasema turudini hapa hakuna dalili halafu ni porini vbaya, wakasema nyinyi nendeni basi katika watu sita wakabaki watatu wale wenzao walikuja kuchukuliwa na bodaboda wao wakabaki na difenda.
Tafuta sana usiku kabsa wakawaona hao wajamaa walikuwa wamanga'ti wakawakamata.
Baada ya kuwakamata kuwabana wakasema sisi tunatumwa na boss wetu wakasema twendeni mmoja akasema unaweza ukaongea na boss ukavutwa waya boss akapokea, jamaa akasema boss tumekamatwa.
Boss akajibu shida nn hapo maliza kesi hiyo, akasema hawataki akasema nipe simu boss akapokea akasema mnataka shngap mapoti wakaanza kupanic ww unataka kutuonga boss hakuongea sana akasema kuna milioni200 hapa nataka tumalize jambo hilo daah kusikia vile wakaangaliana wakasema hata tufanye mpaka tuzeeke hatuipati.
Basi deal done likafanyika pale, makubaliano Jinsi ya pesa zao kuzipata.baada ya kutoka kule wakapanga wakisema tukifika tutasema tumewakosa.
Walivyorudi wakasema hivyo.
Huyo jamaa hapo katika mkoa wake amejenga hostel za watoto wa chuo, ana mabiashara ya Huduma za fedha mjini hapo kila sehemu. kutoka katika ile milion200
Alifanya miaka 3 mbele baadae akasema sababu za afya akaacha kazi huku usimamizi akiwapa watu ili wasimtilie shaka,
Ajabu zaidi katika hao watatu peke yake ndio katoboa wengine zile pesa ziliisha kwenye vikojoleo vya wanawake na pombe
Hivi halali ni kweli ngumuHalal hutoboi lazima upige rhumba sana, akupe Hilo lingine tuu.
🤣😂😂😂, Acha jobless nitulie🤣😂🤒.Asa jamani Intelligent businessman mie nimefanya nini?
Mbona sijacoment chochote arifu?.....😄😄🤭🤭😍😍
Ila unajua nini, mademu tuko hapa pembeni tunau-view huu uzi kwa umakini sana.
Tumeshapata mmoja aliyetusua, bado wengine mkuu.
Sijakuelewa. Umesema wamegawana pasu lakini wakageukana. Hapo hapo unasema "Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana"Haya ma-deal yanafanywa na maaskari wengi sana ukibahatika lazima utoboe
Wakati wa JPM ilikuwa ilikuwa ni risk kusafirisha dhahabu na dhahabu yote ilikuwa inauzwa kwenye masoko ya dhahabu kwenye maeneo husika.
Kuna jamaa alibahatika kuchimba alafu akabahatika kilo 3 za dhahabu na kujaribu kuzisafirisha
Mamwera watatu wakamdaka baada ya kutonywa na wana
Jamaa katika kuwatuliza akawapa milioni 80
Baada ya kugawana pasupasu wakazungukana, mmoja akabeba mzigo wote ...
Guess kilichotokea, jamaa hana kazi na yuko mahabusu hadi sasa tangu mwaka 2020
Moral of the story
Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana
Huu uzi ndio utakaonifanya nijibu pm yako au niiweke pending....😅😅😅🤣😂😂😂, Acha jobless nitulie🤣😂🤒.
👉Afu nimeku pm
👉Badala ya kugawana pasu pass, wao Waka zungukana.Sijakuelewa. Umesema wamegawana pasu lakini wakageukana. Hapo hapo unasema "Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana"
Which is which?
Dah 😂😂, hebu acha roho mbaya 😄.Huu uzi ndio utakaonifanya nijibu pm yako au niiweke pending....😅😅😅
Ila ningependa sana nione akina dada nao wakija kutoa mawazo na michango yao humu jinsi walivyofanikiwa kimaisha.
Maana naona uzi wote mmejaa wanaume.
Haya twende...Dah 😂😂, hebu acha roho mbaya 😄.
👉We nijibu angalau nipone😁
Ko Mr Dell nita tembeza Dell, mpaka nisande😂🤣🤒Halal hutoboi lazima upige rhumba sana, akupe Hilo lingine tuu.
Nilitaka kuandika badala ikawa baada...Sijakuelewa. Umesema wamegawana pasu lakini wakageukana. Hapo hapo unasema "Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana"
Which is which?
👉Badala ya kugawana pasu pass, wao Waka zungukana.
👉Funzo: Kama mme piga deal gawaneni pass, kuepusha mzozo.
👉Bro Soma uelewe
Intelligent businessmanNilitaka kuandika badala ikawa baada...
Poleni kwa changamoto iliyojitokeza
Ngoja nivae miwani yangu vizuri ili ni-edit
Machawa wengi si rizki wanamegwa kimtindokuna risk za uchawa hasa kuliwa
yaah mkuuMachawa wengi si rizki wanamegwa kimtindo
sahihi mkuuHuu uzi ndio utakaonifanya nijibu pm yako au niiweke pending....😅😅😅
Ila ningependa sana nione akina dada nao wakija kutoa mawazo na michango yao humu jinsi walivyofanikiwa kimaisha.
Maana naona uzi wote mmejaa wanaume.
dili la moto hilii sio poahHaya ma-deal yanafanywa na maaskari wengi sana ukibahatika lazima utoboe
Wakati wa JPM ilikuwa ilikuwa ni risk kusafirisha dhahabu na dhahabu yote ilikuwa inauzwa kwenye masoko ya dhahabu kwenye maeneo husika.
Kuna jamaa alibahatika kuchimba alafu akabahatika kilo 3 za dhahabu na kujaribu kuzisafirisha
Mamwera watatu wakamdaka baada ya kutonywa na wana
Jamaa katika kuwatuliza akawapa milioni 80
Badala ya kugawana pasupasu wakazungukana, mmoja akabeba mzigo wote ...
Guess kilichotokea, jamaa hana kazi na yuko mahabusu hadi sasa tangu mwaka 2020
Moral of the story
Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana
hahaaaaHalal hutoboi lazima upige rhumba sana, akupe Hilo lingine tuu.